TCU yaanika sifa za wanafunzi kujiunga vyuo vikuu Tanzania
Sifa hizo ni pamoja na kuwa ufaulu mazuri wa masomo unaohitajika katika udahili wa kozi husika.
Sifa hizo ni pamoja na kuwa ufaulu mazuri wa masomo unaohitajika katika udahili wa kozi husika.
Amesema hija hiyo ni kukumbuka mchango wa Tanzania uliotolewa wakati wa kupigania huru wa nchi yake.
Mikoa hiyo ni pamoja Dar es Salaam, Mbeya na Kaskazini Pemba ambao umeshika mkia kitaifa.
Mjini Magharibi imeingiza shule nne huku Mara ikiingiza shule tatu za mwisho katiya shule 10 za mwisho kitaifa katika matokeo ya kidato cha sita.
Taasisi hiyo imebainisha kuwa kiwango cha rushwa kimeshuka huku rushwa katika ofisi ya Rais, viongozi wa dini, wabunge na viongozi wa kimila ikipomoroka kwa kasi.
Atawasili nchini kwa ziara binafsi kama ilivyokuwa kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta.
Masomo hayo ni General Studies, Historia, Bailojia na Accountancy ambayo ufaulu wake umeshuka kwa viwango tofauti.
Kati ya wasichana 10 waliopo kwenye orodha hiyo, wanne wanatoka Shule ya Sekondari ya St Mary’s Mazinde Juu mkoani Tanga.
Shule za Kisimiri na Feza hazijawi kutoka katika orodha ya kumi bora toka mwaka 2012.
Wamefutiwa matokeo hayo baada ya kubainika kuwa walifanya udanganyifu.
Ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 97.58 mwaka 2018 hadi asilimia 98.32 mwaka huu.
Mabehewa hayo yanajumuisha 1,430 ya mizigo na 60 ya abiria ambapo safari ya kwanza ya majaribio ya treni ya wahandisi imezinduliwa jana.
Wamesema kutaleta tija kubwa na kupunguza gharama za uendeshaji kwa wamiliki wa mabasi.
Amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa kampuni za Said Salim Bakhresa kufuatia vifo vya wafanyakazi watano wa vyombo vya habari vya Azam Media Limited.
Amesema huwezi zuia wananchi wa Tanzania na Kenya kutembeleana.
Kaya 8 kati ya 10 zimejenga makazi yao kwa kutumia njia za kisasa, hali ikiwa bora zaidi ikilinganishwa na miaka sita iliyopita.
Atawasili Ijumaa Julai 5 katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais John Magufuli.
Tofauti hiyo inajitokeza hasa katika maeneo ya mijini ambayo kaya zake zimeunganishwa kwa asilimia 63.2 na huku vijijini ikiwa ni asilimia 29.1.
Ripoti mpya ya mapato na matumizi katika kaya inaonyesha umaskini wa mahitaji muhimu umepungua kutoka asilmia 28.2 mwaka 2011-2012 hadi asilimia 26.4 mwaka 2017-2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema utekelezaji wa bajeti hiyo unategemea nidhamu na utashi wa viongozi na wananchi.