Rais Magufuli ataja sababu za kuwang’oa Kichere TRA, Kakunda wizara ya viwanda
Amesema walishindwa kuwajibika katika nafasi zao ikiwemo kusimamia ukusanyaji wa kodi na uuzaji wa korosho.
Amesema walishindwa kuwajibika katika nafasi zao ikiwemo kusimamia ukusanyaji wa kodi na uuzaji wa korosho.
Ametengua uteuzi wa Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere na nafasi zao zimechukuliwa na watu wengine.
Baadhi ta masharti hayo ni kuwa Serikali haitaruhusiwa kuendeleza bandari yeyote ukanda wa pwani na hautoruhusiwa kukusanya mapato.
Amewataka waislamu wote nchini kutenda matendo mema pamoja na kuwakumbuka yatima na wajane.
Onyesha furaha kwa wengine hasa wenye uhitaji katika jamii huku ukitenga muda wa kukaa na familia yako.
Kozi zitakazopewa kipaumbele zaidi ni pamoja na ualimu wa sayansi, programu za uhandisi na sayansi ya afya.
Utaratibu huo utahusu waombaji wote wa viza wanaotaka kuhamia nchini humo na wanaotaka kuzuru kwa muda mfupi
Walimu hao waliojiriwa kati ya mwaka 2017/18 na 2018/19, takriban robo tatu au walimu 10,695 waliajiriwa shule za msingi na 3,727 waliosalia wanafundisha shule za sekondari.
Fedha hizo zitatumika katika programu ya Stadi za Ajira (SET) ili kuwapatia vijana ujuzi na stadi za kazi kuwawezesha kujiajiri na kuchangia katika ukuaji wa uchumi.
Amesema agizo hilo linawahusu viongozi wa Serikali wanaohudumiwa na stahili za simu na siyo watumishi wote.
Ameitaka hospitali ya Aga Khan wakamilishe majadiliano na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ili watumiaji wa bima za mfuko huo watibiwe katika hospitali za Aga Khan.
Waziri wa nishati amesema Serikali itatekeleza mradi huo wa megawati 2,115 bila kuyumbishwa wala kukwamishwa na yeyote.
Serikali imesema inatekeleza programu ya kuwaandaa wahitimu wa vyuo kupata uzoefu wa kazi kabla ya kuajiriwa.
Amesema mafunzo hayo yanalenga kuwapatia vijana stadi za kazi na maisha ili waweze kujiajiri wenyewe.
Rais Magufuli aagiza kamati ya pamoja ya Tanzania na Namibia (Joint Permanent Commission -JPC) kukutana ndani ya miezi miwili ili kujadili maeneo ya ushirikiano wenye manufaa kwa nchi hizo.
Serikali imesema mpaka sasa kuna vituo 21 na inatarajia kuongeza vingine saba ili kurahisisha biashara ya madini katika maeneo ya machimbo.
Amesema zoezi hilo litaenda hatua kwa hatua kabla ya kuondoa kabisa mifuko hiyo nchini.
Amezitaka zijitofautishe na vyombo vya habari vya nje vya bara hilo ambavyo amedai vimekuwa vikiripoti zaidi mambo mabaya
Serikali imesema inaratibu mafunzo ya kuwajengea uwezo ili kuongeza idadi ya wataalam hao.
Serikali imesema inakamilisha muundo mpya wa bodi hiyo ikiwemo uteuzi wa mwenyekiti wake.