Rais Magufuli aelekea Afrika Kusini, Namibia
Katika safari hiyo, Dr Magufuli atahudhuria uapisho wa rais mteule wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea Namibia kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi.
Katika safari hiyo, Dr Magufuli atahudhuria uapisho wa rais mteule wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya kuelekea Namibia kwa ajili ya ziara rasmi ya kikazi.
Serikali imesema bado inaandaa sera na ikikamilika italijulisha Bunge na wananchi wote.
Amejikuta akiipoteza fursa ya kuuliza swali kwa mara ya kwanza baada ya kupewa nafasi na kuishia tu kutoa shukrani kwa kupata nafasi ya ubunge.
Agizo hilo limetolewa na Rais John Magufuli ambapo amesema kwa kufanya hivyo watakuwa wanaliimarisha shirika hilo la simu nchini na kumkumbuka baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Fedha hizo zitatumika kutekeleza miradi ya kilimo kwa miaka mitatu kuanzia mwaka 2020 ambapo mfuko huo unaisubiri Tanzania iainishe maeneo mahususi ya miradi ya kilimo ambako fedha hizo zitaelekezwa.
Amesema ni wale wanahusika na uhalifu, kesi za ajali barabarani na zisizo na wamiliki.
Maeneo hayo ni pamoja na uanzishwaji wa bima ya mazao, upitiaji wa mfumo wa upatikanaji pembejeo za kilimo na usajili wa wakulima
Hawataruhusiwa kuingia na mifuko ya plastiki hiyo ifikapo June 1 mwaka huu.
Amesema mpaka sasa wageni wanaoingia nchini hawajazuiwa kutumia mifuko hiyo na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) itatoa utaratibu wa matumizi ya mifuko hiyo kwenye ndege.
Watendaji wanatuhumiwa kwa kuonyesha udhaifu wa kiutendaji ndani ya tume hiyo ikiwemo matumizi mabaya ya fedha za miradi, rushwa, matumizi mabaya ya madaraka, upendeleo na kukosa umakini katika shughuli zao.
Amesema hakuna upendeleo unaofanyika kwa runinga hiyo ya Taifa katika urushaji wa maudhui kwa umma na kama kuna mtu ana wasiwasi ampekee yeye atayarusha.
Serikali imesema tayari kampuni ya Azam imepata leseni hiyo jana huku DSTV na Zuku nazo zimewasilisha maombi ambayo yanafanyiwa kazi na TCRA.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe amesema mradi huo haujasitishwa na majadiliano yanaendelea na wawekezaji baada ya “kuwepo masharti yasiyokuwa na maslahi kwa Taifa”.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka wananchi wa mikoa hiyo waendelee kuchukua tahadhari ya uharibifu miundombinu unaoweza kutokea.
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amesema kukamilika kwa ujenzi wa kiwanda hicho cha upigaji rangi mabomba ya mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoimo nchini Uganda hadi Tanga kutafungua fursa za kibiashara na ajira hasa kwa wananchi wa mikoa ya Tab
Amesema alikuwa kiungo muhimu kwa mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao, Serikali na sekta binafsi.
Wametakiwa kuacha ubaguzi, kiburi na majivuno ya madaraka badala yake waendeleze unyenyekevu, upendo na amani aliyokuwanayo Reginald Mengi siku za uhai wake.
Tayari mwili wa mfanyabiashara huyo umewasili mkoani Kilimanjaro na kupokelewa na wakazi wa mkoa huo ambapo mazishi yatafanyika kesho kijijini kwake Nkuu, Machame.
Serikali imesema zaidi ya asilimia 10 ya watanzania wana tatizo la lishe iliyopitiliza ikiwemo viliba tumbo, jambo linalowaweka katika hatari ya kupata magonjwa yasiyoambukiza.
Madaraka hayo aliwahi kuyashika katika taasisi za umma na binafsi ikiwemo taasisi ya sekta binafsi Tanzania (TPSF) ambako alionyesha umahiri mkubwa wa uongozi.