Prof. Kabudi: Kifo cha Mengi ni pigo kubwa kwa Tanzania
Amesema katika kipindi cha uhai wake alishiriki moja kwa moja katika ujenzi wa uchumi kwa kutoa ajira na kuvutia uwekezaji katika sekta za madini, mafuta, gesi na afya.
Amesema katika kipindi cha uhai wake alishiriki moja kwa moja katika ujenzi wa uchumi kwa kutoa ajira na kuvutia uwekezaji katika sekta za madini, mafuta, gesi na afya.
Mwili wa marehemu Renald Mengi utawasili jumatatu ya Mei 6 jijini Dar es Salaam na Mei 9 atapumzishwa katika nyumba yake ya milele Machame mkoani Kilimanjaro.
Ni Mwenyekiti wa baraza la chuo hicho aliyeteuliwa na Rais John Magufuli Disemba 2018, ambaye amekuwa na uwezo mkubwa kufuatilia uboreshaji wa miundombinu ya maktaba, barabara na mabweni chuoni hapo.
Amesema Mungu atawainulia mtu mwingine ili yale mema waliyokuwa wanayapata kwa mfanyabiashara huyo waendelee kuyapata.
Amesema atamkumbuka kwa mchango wake mkubwa katika maendeleo ya Taifa na maono yake yaliyopo katika kitabu chake cha I Can, I Will, I Must.
Mengi alizaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro na umauti umemkuta akiwa mjini Dubai, Falme za Kiarabu usiku wa kumakia leo.
Hajaweka wazi ni lini atatekeleza ahadi hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wafanyakazi kutolewa tamko lakini amewataka wawe wavumilivu kwa sababu sasa anajenga uchumi wa nchi na fedha zinaelekezwa katika miradi ya maendeleo.
Miongoni mwa maswali hayo ni ongezeko la kima cha chini cha mishahara na kupungua kwa kodi ya mishahara.
Asema wakiendelea kununua kwa ajili ya kuiuza kabla ya Juni 1 itawadodea.
Makadirio ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yameshuka kutoka Sh1.406 trilioni katika mwaka 2018/2019 hadi Sh1.389 mwaka wa fedha wa 2019/2020 unaoanza Julai mwaka huu.
Ni wale ambao hawajatekeleza agizo la kujenga vituo hivyo alilolitoa Januari 9, 2019 Ikulu jijini Dar es Salaam wakati akiwaapisha mawaziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu wa wizara.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema kimbunga hicho kimepungua nguvu na sasa kimebadilika na kuwa mgandamizo mdogo lakini wanatakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ya mvua kubwa inayoweza kunyesha tena.
Hatua hiyo inakuja baada ya CAG kubaini kuwa kuna usimamizi na utangazaji duni wa Mali-Akili chuoni hapo.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imewataka mamlaka na wananchi wa mikoa ya Mtwara na Lindi kuchukua tahadhari ya kujikinga na madhara yanayoweza kutokea kwa sababu kimbunga hicho kimejiimarisha.
Kimbunga hicho kitajiimarisha zaidi katika ukanda wa pwani ya Mtwara siku ya Alhamisi ambapo kinaweza kutatiza shughuli zinazofanyika katika fukwe na usafirishaji wa anga na majini.
Akiwa Malawi anakutana na kufanya mazungumzo na Rais Peter Mutharika na kufungua msimu mpya wa soko la tumbaku.
ayari Chuo kimetayarisha mtaala wa kufundishia lugha ya Kiswahili na mafunzo hayo yataanza kutolewa kuanzia mwaka wa masomo 2019/2020 ambapo Kitasaidia kuitangaza Tanzania kimataifa na kufungua milango ya fursa nyingi ikiwemo utalii.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema Serikali haijazuia kuchapishwa kwa taarifa hiyo inayoelezea tathmini ya hali ya uchumi wa Tanzania bali inaendelea na mazungumzo na shirika hilo la fedha duniani.
Ripoti mpya iliyotolewa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) huvi karibuni inasema vifo hivyo vinasababishwa na mazingira yasiyo salama na afya katika maeneo ya kazi duniani.
Tume hiyo ilifanya malipo ya posho yasiyo ya kawaida yanayofikia Sh721.05 milioni kwa wafanyakazi wake ikiwemo kuwalipa posho za safari kwa siku 324 huku rejista ikionesha kuwa walikuwapo ofisini katika kipindi hicho.