Watanzania wamlilia Ruge kila kona
Ruge Mutahaba ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG) alifariki dunia jana nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.
Ruge Mutahaba ambaye alikuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG) alifariki dunia jana nchini Afrika Kusini alipokuwa akipatiwa matibabu.
Fedha hizo zimetolewa na Serikali kukarabati shule 42 kati ya 88 zilizopo nchini ambazo zinahitaji maboresho makubwa.
Amewataka watafakari kabla ya kutenda kwa sababu wakibainika wamewapa mimba mabinti wanaosoma, adhabu yake ni miaka 30 jela.
Wadau wa mazingira wamesema sheria zinazosimamia rasilimali asilia zilizopo sasa ni nyingi, jambo linaloteta mkanganyiko katika utekelezaji.
Ni vijana wanaofanya vizuri katika sekta mbalimbali za maendeleo ikiwemo michezo, burudani, teknolojia, uongozi na ujasiriamali wa kijamii.
Bosi huyo anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dk Fidelice Mafumiko aliyeteuliwa kuwa Mkemia Mkuu wa Serikali.
Baada ya viongozi wa wilaya, shule na mkoa kutokujua juu ya mkataba wa ukarabati wa shule hiyo.
Wadau washauri kujenga vituo vya ubunifu katika mikoa yote nchini ili kuwapa fursa vijana ambao hawajaelimika.
Mvua hizo zitanyesha katika mikoa yenye shughuli nyingi za uchimbaji madini ya Kagera, Mara, Mwanza, Geita, Simiyu na Shinyanga.
Ni fursa ya mafunzo na kuripoti Mkutano wa Afrika wa Tabianchi Accra Ghana kuanzia 18 hadi 22 Machi 2019.
Serikali, sekta binafsi watakiwa kujielimisha zaidi juu ya matumizi ya mkaa ili kupata suluhisho la pamoja katika kutafuta nishati endelevu itakayosaidia kupunguza ukataji miti.
Ujenzi huo unahusisha miundombinu ya barabara ya Kilwa kuanzia katikati ya Jiji la Dar es Salaam hadi Mbagala Rangitatu.
Mfumo huo utaondoa changamoto za utendaji, kuboresha uwajibikaji na ufanisi wa watumishi wa umma serikalini.
Mambo hayo ni pamoja na kubadili mfumo wa maisha, ulaji mzuri wa chakula na kufanya mazoezi.
Awashauri wanahabari wajifunze jinsi ya kuripoti habari za takwimu kwa usahihi na lugha rahisi ili kuwa na thamani katika soko la ajira.
Wadau waiomba Serikali kurudi mezani tena kufanya mazungumzo na wamiliki wa chaneli kuongoa pengo la kutokupata taarifa.
Karibia nusu ya watahiniwa wake katika matokeo ya mwaka 2018 wamepata daraja la kwanza la alama saba.
Wamesema vitendo hivyo siyo ishara nzuri kwa maendeleo ya Taifa kwasababu vinaibua changamoto za weledi katika soko la ajira.
Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) limetakiwa kushughulikia changamoto za madeni ya ndani ili kuboresha upatikanaji wa umeme visiwani humo.
Katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2018, kulitokea matukio 3,978 ya ajali za barabarani ukilinganisha na matukio 6,022 yaliyotokea mwaka uliotangulia wa 2017.