Ongezeni ubunifu, thamani ya habari-Meena
Hatua hiyo itasaidia kujikita katika habari za uchunguzi ili kutatua changamoto za upatikanaji wa nishati vijijini.
Hatua hiyo itasaidia kujikita katika habari za uchunguzi ili kutatua changamoto za upatikanaji wa nishati vijijini.
Wamesema nishati hiyo ni ya uhakika, endelevu na inaweza kutumiwa na vizazi vijavyo bila kuathiriwa na mabadiliko ya hali ya hewa.
Ni zile zinazohitajika katika kuripoti habari za nishati jadidifu ili kuleta matokeo chanya kwenye jamii.
Mchakato wa kuwahamisha wananchi na upembuzi yakinifu katika eneo la Mangapwani Unguja itakapojengwa bandari hiyo umeanza.
Ni mwandishi mzuri ambaye ameandika vitabu na maandiko mbalimbali zaidi ya 120 katika maisha ya kitaaluma yake.
Kutatuliwa kwa changamoto hizo kutasaidia kuongeza ufanisi wa mfumo huo na kupunguza ajali za barabarani
Maagizo hayo ni pamoja na kuanzisha vituo vya ununuzi wa madini na kuongeza ubunifu katika maeneo yao ya kazi ili kuboresha maslahi ya watanzania.
Wadau hao wamesema hatua hiyo imekuja kufuta kilio cha muda mrefu cha kuwa na wizara maalum inayoshughulikia masuala ya uwekezaji.
Mikoa hiyo ni Arusha, Njombe, Kigoma, Kilimanjaro, Kagera, Shinyanga na Mwanza haijawai kutoka katika 10 bora za mpangilio wa ufaulu kimkoa tangu mwaka 2016.
Awashauri vijana kupanga bajeti vizuri ili kuepuka kutokujua pesa yao imetumikaje.
Hatua hiyo inakuja baada ya kutoridhishwa na kasi ya baadhi wakandarasi wanaosimamia ujenzi wa eneo la Mji wa Serikali la Ihumwa Jijini Dodoma ili waeleze kazi hiyo itakamilishwa lini.
Takwimu mpya kutoka Sekretarieti ya ajira ya utumishi wa umma zinabainisha kuwa ni mtu mmoja tu kati ya waombaji 100 alifanikiwa kupata ajira.
Mitandao ni majukwaa ya kubadilishana uzoefu na fursa mbalimbali ambazo vijana wakizitumia vizuri zitawasaidia kuboresha maisha yao.
Imesema limepoteza sifa ya kuendelea kutoa huduma ya usafiri na kutoa notisi ya siku 28 ya kuja na mpango mkakati kwanini wasifungiwe.
Imesema itaendelea kuenzi misingi ya utawala bora na haitamvumilia kiongozi yeyote wa umma atakayetanguliza maslahi binafsi badala ya maslahi ya umma katika utendaji wake.
Awataka viongozi hao wawe mfano bora wa kuigwa, waadilifu, watenda haki, kufuata sheria pamoja na kufahamu na kuheshimu miiko ya uongozi.
Tamasha hilo limefungua mlango kwa wanahabari kujifunza na kupata maarifa, ujuzi na mbinu watakazotumia kuifikia jamii katika sekta ya nishati jadidifu.
Matokeo mengine yanayotarajiwa kufikiwa kutokana na mkakati huo ni kupungua kwa maambukizi mapya ya VVU miongoni mwa watoto kwa chini ya asilimia 5 ifikapo mwaka 2023 na chini ya asilimia 2 ifikapo mwaka 2030.
Imesema kukamilika kwa uhakiki huo wa taarifa za kiutumishi kwa watumishi wa umma kutaiwezesha Serikali kupanga upya mishahara na motisha kwa watumishi.
Imewaomba waendelee kufanya kazi zao za maendeleo kwasababu kitu hicho kilichoanguka ardhini Novemba 27, 2018 hakina madhara yoyote kwa maisha yao.