Wachimbaji wadogo wa madini Geita kupata mkopo kuendeleza rasilimali zao
Wameshauriwa kujiunga katika vikundi kwa sababu Serikali imeweka mikakati mizuri kuhakikisha wananufaika na uwepo wa rasilimali hiyo.
Wameshauriwa kujiunga katika vikundi kwa sababu Serikali imeweka mikakati mizuri kuhakikisha wananufaika na uwepo wa rasilimali hiyo.
Changamoto hizo ni pamoja na wanasiasa kuingilia maamuzi ya sera zinayohusu nishati jambo linaloathiri utekelezaji wa miradi mbalimbali inayolenga kuwainua wananchi kiuchumi.
Ni Rais mstaafu wa Afrika Kusini na Mwenyekiti wa jopo la ngazi ya juu lililoundwa na Umoja wa Afrika (AU) kushughulikia tatizo la utoroshaji wa fedha
Imejengwa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa gharama ya Sh93.6 bilioni ikiwa ni msaada kutoka Serikali ya China na inakuwa maktaba kubwa kuliko maktaba zote ambazo nchi hiyo imezijenga barani Afrika.
Hatua hiyo itarahisisha upatikanaji wa vibali hivyo kwa raia wa kigeni na kuchochea kasi ya maendeleo ya kiuchumi nchini.
Kampeni hiyo italeta maana ikiwa kila mtu katika nafasi yake atasimama kukemea na kupinga vitendo vyote vinavyohatarisha maisha na ustawi wa wasichana na wanawake katika jamii.
Wadai vitendo hivyo vimetokea katika operesheni tatu za kutokomeza uvuvi haramu zinazotekelezwa katika Ziwa Victoria na bahari ya Hindi mwaka huu.
Amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano na miongozo kwa vyuo vikuu vyote nchini ili viendelee kutoa elimu yenye ubora na viwango vinavyotakiwa.
Awaagiza watendaji Serikalini kuhakikisha lengo la kila kaya nchini kupata choo bora kabla ya Desemba 31, 2018 linafikiwa ili kuwaepusha wananchi na maradhi.
Amesema changamoto iliyopo ni watu kushindwa kutofautisha kati ya kuikosoa na kuitukana Serikali kwani wengi wamekuwa wakitukana na kusema wanaikosoa.
Imeshinda tuzo hiyo kwa mara ya tatu inayotolewa na Jarida la “National Geographic Magazine” la nchini Urusi kwa mwaka 2018.
Inashirikiana na nchi za ukanda wa maziwa makuu katika kusimamia matumizi endelevu ya maji ya mto huo kwa ajili ya ustawi wa kiuchumi wa nchi wanachama.
Dirisha la kuwasilisha rufaa litakuwa wazi kwa siku tano, kuanzia leo hadi Novemba 25, 2018 na linawahusu wanafunzi ambao hadi sasa hawajapata mkopo au wasioridhika na viwango walivyopatiwa katika mwaka wa masomo wa 2018/19.
Benki hiyo sasa imeondoa zuio la wafanyakazi wake kuzuru nchini lililokuwa limewekwa hapo awali kwa madai ya “kuwepo vitisho na ubaguzi dhidi ya watu wanaotekeleza vitendo vya ushoga”.
Ameagiza Sh995 milioni zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha sherehe hizo zitumike kujenga hospitali ya Uhuru mkoani Dodoma.
Zaidi ya nusu ya kaya nchini hazina vyoo bora jambo linalowaweka wananchi hasa watoto katika hatari ya kukumbwa na magonjwa ya kuambukiza
Mabweni hayo yatawaondolea wanafunzi wa kata hiyo adha ya kutembea umbali mrefu kwenda katika shule ya sekondari Mnacho.
Imeshika nafasi ya kwanza katika matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi katika mkoa wa Lindi mwaka huu.
Maagizo hayo ni pamoja na mikoa nchini kutakiwa kuanzisha maonyesho ya viwanda, biashara ndogo ndogo na teknolojia.
Kati ya fedha hizo, Sh38.6 bilioni zimepelekwa katika shule za msingi na Sh44.6 bilioni zimeenda katika shule za sekondari ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa utoaji elimu bila malipo.