Benki ya dunia yaridhia kutoa mkopo wa zaidi ya 600 bilioni: Ikulu
Habari za kutolewa mkopo huo zimetolewa leo baada ya Rais Magufuli kukutana na kigogo wa juu wa benki hiyo barani Afrika.
Habari za kutolewa mkopo huo zimetolewa leo baada ya Rais Magufuli kukutana na kigogo wa juu wa benki hiyo barani Afrika.
Wafanyabiashara watakaokiuka onyo hilo kuchukuliwa hatua kali za kisheria
Utajumuisha makampuni nane ambayo yanajishughulisha masuala ya afya, usafirishaji na nishati kwa ajili ya kukutana na viongozi na watendaji wa Serikali.
Ni wa nyumba 7,460 katika eneo la Dege Beach zilizojengwa kwa ubia kati shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio Housing Estate Limited (AHEL).
Rostam Aziz ampongeza Rais Magufuli kwa kuboresha miundombinu rafiki ya kibiashara kwa misingi imara ya ukuaji wa uchumi.
Mwenendo bora wa kilimo unategemea uwekezaji wa sekta saidizi hasa miundombinu ya umwagiliaji, barabara vijijini, umeme kwa ajili ya kuendesha viwanda vya kuongeza thamani ya mazao.
Ni kushindwa kwa baadhi ya taasisi zilizo chini ya wizara wanazoziongoza kutekeleza wajibu wao ipasavyo, ikiwemo kutafuta masoko na kupanga bei ya mazao ya wakulima.
Nyumba hiyo ya ghorofa moja iliyopo Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam inamilikiwa na mabinti wa marehemu Mwasansu.
Japhet Hasunga sasa kumrithi Dk Charles Tizeba huku Joseph Kakunda akienda kuziba nafasi ya Dk Charles Mwijage.
Umefikia asilimia 3.2 kwa mwaka ulioshia Oktoba 2018, kiwango ambacho Trading Economics wanasema ni cha chini zaidi kuwahi kurekodiwa Tanzania.
Viwanda hivyo vitaisaidia Serikali kuokoa bajeti inayotumika kuagiza dawa nje ya nchi.
Idara ya uhamiaji imesema wafanyakazi hao walikuwa nchini kwa ajili ya matembezi lakini walianza kufanya mikutano na wanahabari “kinyume na sheria.”
Yaeleza kuwa walikamatwa wakiwa hotelini jijini Dar es Salaam Jumatano hii na kupelekwa kusikojulikana.
Mpaka sasa Tanzania ina rada moja ambayo ina uwezo wa kuhudumia anga kwa asilimia 25 na sehemu iliyobaki inasimamiwa na Kenya.
Washauri iachane na mipango isiyotekelezeka na viongozi wajikite katika kutengeneza falsafa na itikadi ya kuendesha uchumi.
Wanafunzi 12,071 waliosalia watapangiwa mikopo katika awamu inayofuata ili kukamilisha idadi iliyopangwa ya wanafunzi 40,000
Kigoma inaongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya Malaria kwa watoto chini ya miaka mitano kwa asilimia 24, mara tatu zaidi ya wastani wa kitaifa.
Kamanda Mambosasa amesema watekaji walimtelekeza Gymkana na gari lililokuwa linasakwa na polisi.
IGP Simon Sirro amesema wanawasiliana na polisi wa kimataifa (Interpol) baada ya uchunguzi wa awali kuonyesha kuwa gari linalodaiwa kuhusika limetokea nchi jirani.
Imebainika kuwa mfumo wa manunuzi uliopo sasa unakabiliwa na changamoto mbalimbali za upatikanaji wa taarifa.