‘Maisha Package’ kifurushi kinachowakinga wasichana dhidi ya mimba zisizotarajiwa
Kifurushi hicho kinampatia msichana uhakika wa afya bora kwa kumuondolea hatari ya kupata VVU na mimba zisizotarajiwa.
Kifurushi hicho kinampatia msichana uhakika wa afya bora kwa kumuondolea hatari ya kupata VVU na mimba zisizotarajiwa.
Ziara hiyo inatarajiwa kuwa ya siku saba akizindua miradi mbalimbali ya maendeleo.
Ni mwendelezo wa utekelezaji wa Mfumo wa Taifa wa Huduma za Hali ya Hewa nchini.
Yatasaidia kukuza vipaji na ubunifu wa wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo vikuu.
COSTECH, OFAB kuimarisha ushirikiano na vyombo vya habari.
Tamasha la mwaka huu linatarajiwa kufungua milango zaidi kwa wageni kutembelea vivutio vya kitalii nchini.
Mfumo huo utaonyesha mwenendo wa fedha anazopokea mwanafunzi kila mwaka.
Mfuko huo unahusisha vifaa vyote muhimu vya kujifungulia.
Utaboresha miundombinu na taarifa za hali ya hewa nchini
Maboresho hayo yanataka mtu aliyethibitishwa na NBS kufanya utafiti kupata idhini ya ofisi hiyo kabla ya kuwasilisha matokeo hayo kwa umma.
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wana uwezo wa kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja kuliko wanaume ikiwemo masuala ya kazi.
Ziara hiyo kuanisha maeneo yatakawekwa kwenye uangalizi wa mazingira nyeti
Ripoti mpya ya LHRC inaonyesha kuwa ubaguzi wa kijinsia umekithiri katika sekta ya biashara nchini.
Wadau wasema ni wakati wa vyama vya wafanyakazi kutetea haki za wanachama wao.
Akanusha uvumi wa kufungiwa kwa visimbuzi vya Azam, Zuku na DSTV.
Zaidi ya watu milioni 300 wameathirika na sonona duniani huku ikisababisha karibu watu 800,000 duniani kujiua kila mwaka.
Wanawake wanaathirika zaidi kuliko wanaume
Mmiliki wa Gugu afurahia kukwepa gharama za kumtunza.
Utaratibu utakaoanza baada ya mwezi mmoja ujao utawafanya abiria wote kutumia kituo cha Kamata mpaka ujenzi wa kituo kipya cha Stesheni utakapokamilika.
Asema urefu ulisababisha aombe kubadilishana siti vimemuokoa katika ajali hiyo iliyogharimu uhai wa mtu mmoja.
Wanatamani Serikali na wamiliki wa daladala wangeanzisha utaratibu wa kutolipisha nauli kwa walimu kama ilivyo Dar.