Wabuni teknolojia ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa za elimu Tanzania
Elimu Yangu imelenga kuwasaidia wanafunzi, wazazi na walezi kujua ufaulu wa shule husika zikiwemo zile zilizopo kwenye 10 bora na mkiani.
Elimu Yangu imelenga kuwasaidia wanafunzi, wazazi na walezi kujua ufaulu wa shule husika zikiwemo zile zilizopo kwenye 10 bora na mkiani.
Zaidi ya nusu ya wazazi wasema matokeo yenye ufaulu wa chini ya asilimia 51 ni “mazuri” na “mazuri sana”.
Ndani ya miaka 10 iliyopita idadi ya vyuo vikuu imeongezeka kwa asilimia 51 lakini ubora umekuwa kikwazo kikubwa cha ukuaji.
Kozi 75 zafungiwa udahili mwaka wa masomo 2017/2018 kutokana na vyuo kutokidhi vigezo.
Walimu waomba Serikali ianzishe mtaala maalum kwa watoto wenye uziwi ili waweze kupata elimu bora kama wengine.
Ubalozi wasema kuanzia Mei 15 walinzi hawatahifadhi vifaa vya wageni hivyo ni marufuku kabisa kwenda na vifaa vya kielektroniki katika eneo hilo ikiwemo simu za mkononi.
Watakaofaulu mtihani huo wa Kidato cha Sita (ACSEE) watapata fursa ya kujiunga elimu ya juu katika vyuo vya kati na vyuo vikuu nchini.
Robo tatu au asilimia 76 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2017 walipata daraja la IV na sifuri.
Shule ya sekondari ya ufundi ya Iyunga imefanikiwa kuingia katika shule 100 vinara mara moja tangu mwaka 2012 ndani ya miaka sita iliyopita.
Asilimia 52 ya wanafunzi wote elimu ya msingi wilayani humo ni wasichana na ndiyo inayoongoza kwa udahili wa watoto wakike.
Idadi ya Wanawake wanaosoma elimu ya juu bado ni ndogo ukilinganisha na wanaume.
Hatua hiyo inafanana na utaratibu mpya wa Serikali ya Tanzania wa kuzitoza tozo za usajili na leseni blogu, tovuti na televisheni za mtandaoni.
Inadaiwa wakazi wengi wa vijijini wenye umeme huutumia tu kwa ajili ya matumizi ya msingi ya kuwasha taa, kupiga mziki na kuchajia simu.
Watumiaji kutoka mikoa ya Kaskazini mwa nchi wao hawataguswa na maumivu ya bei mpya za mafuta kwa kuwa Bandari ya Tanga haikuingiza shehena mpya ya nishati hiyo.
Takriban nusu ya shule hizo king’ang’anizi kwenye orodha hiyo, ni za wasichana.
Kujituma, kujiamini na hamu ya kuongeza mtandao wa kujifunza na kufanya nao biashara ndiyo nguzo kwa kila mjasiriamali.
Zikitumika vizuri zinatoa fursa na majawabu ya matatizo yanayolikabili Taifa kwa sasa.
• Takwimu za Google trends zinaonyesha kuwa mvuto wake waanza kuporomoka