Magufuli avinyooshea vidole vyombo vya habari Tanzania
Amesema vinatakiwa kutanguliza mbele uzalendo kwa Taifa na kuepuka habari za uzushi.
Amesema vinatakiwa kutanguliza mbele uzalendo kwa Taifa na kuepuka habari za uzushi.
Ili kupunguza gharama za uendeshaji na zisizo za lazima, Serikali imesema ina mpango wa kuvunja Jiji la Dar es Salaam na kuchagua manispaa moja katika jiji hilo itakayopandishwa hadhi na kuwa Jiji.
Wakala wa Ufundi na Umeme umeanza kusimika taa za barabarani jijini humo. Taa hizo zitasaidia kuongoza magari na umakini wa madereva wanapofika kwenye makutano ya barabara.
Ni makundi ya nzige wa jangwani waliovamia mashamba ya wakulima na malisho ya mifugo katika Wilaya za Simanjiro na Longido.
Ni baada ya kujiondoa mwaka jana chini ya utawala wa Rais mstaafu Donald Trump.
Rais John Magufuli amewataka kuepuka hofu na kutishana kuhusu vifo vinavyotokea nchini na kuwataka kushikamana na kumtegemea Mungu pale nchi inapopitia changamoto ikiwemo magonjwa ya aina mbalimbali.
Watakiwa kulima mazao yanayostahimili mvua kuwa ili kuongeza uzalishaji katika msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mwaka huu.
Atazikwa Jumamosi Februari 20, 2021 Korogwe, Tanga huku viongozi mbalimbali wakimlilia kwa utumishi uliotukuka.
Ibada ya sala ya kumuombea marehemu iliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja, Unguja mchana wa leo Februari 18, 2020 imehudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Zanzibar wa rika zote wakiongozwa na Rais Hussein Mwinyi.
Mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad unatarajia kupumzishwa leo Februari 18, 2021 katika kijiji cha Mtambwe kisiwani Pemba, ikiwa ni siku moja tangu kutangazwa kwa kifo chake.
Rais John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo za kifo hicho huku viongozi mbalimbali wakimlilia kiongozi huyo mashuhuri Tanzania.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki dunia leo Februari 17, 2021 jijini Dar es Salaam
Ni katika mafunzo maalum ya uandishi wa habari za takwimu na uthibitishaji habari. Mafunzo hayo ya miezi miwili yanafanyika katika kituo cha mafunzo (#NuktaLab) cha kampuni hiyo kilichopo jijini Dar es Salaam.
Fedha zilizotengwa kwa ajili shughuli hiyo zitatumika kuimarisha huduma za ugani ili kuleta mapinduzi ya kilimo.
Agizo hilo linatokana na uwepo wa minara isiyokidhi mahitaji ya mawasiliano katika baadhi ya maeneo nchini.
Takriban watu 22 walibakwa kila siku nchini Tanzania mwaka 2019 sawa na wastani wa watu 653 kila mwezi.
Ameitaka mifuko inayotoa dhamana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali kutathmini shughuli na huduma zake ili kubaini mafanikio na changamoto.
Katibu mkuu wizara ya afya asema Serikali haijawahi kuzuia watu kuvaa barakoa.
Zitaingizwa katika Mpango wa Taifa wa Kunusuru Kaya Masikini (Tasaf) ili ziweze kujikwamua kiuchumi.
Hatua hiyo itasaidia kukuza viwanda vya ndani vinavyotengeneza nyuzi za zao la mkonge.