Jinsi ya kukabiliana na changamoto unapoanza mwaka 2021
Usihangaike na vitu ambavyo viko nje ya uwezo wako. Dunia bado inakuhitaji. Changamoto ni sehemu ya maisha, zinakufanya uwe imara zaidi.
Usihangaike na vitu ambavyo viko nje ya uwezo wako. Dunia bado inakuhitaji. Changamoto ni sehemu ya maisha, zinakufanya uwe imara zaidi.
Ni pamoja na kujijengea tabia ya uthubutu wa kufanya kitu bila kuogopa macho na maneno ya watu.
Hata baada ya mwaka 2020 kutokuwa wa mafanikio kwako, 2021 unaweza kuwa na matumaini.
Hakikisha una taarifa muhimu kuhusu nguo unayonunua mtandaoni kutoka kwenye duka linaloaminika.
Kumbuka majonzi na huzuni vinasaidia kujenga ukomavu wa kifikra
Vyakula vya aina hii zikiwemo chips na nyama za kukaanga vinavutia sana kuvila lakini vina madhara yake.
Siku hazigandi. Maisha hayamsubiri mtu. Nimeshinda hofu na mashaka ya kuwa pekee yangu. Nimekuwa mpya na mwenye matumaini tele.
Nilisahau kukuambia kuwa kwa kipindi hicho chote ambacho nilikuwa nauza juisi nilikuwa najitolea katika kampuni ya habari na teknolojia ya Nukta Africa huku nikiitegemea familia yangu kuniwezesha kiuchumi.
Ni ngumu kuamini lakini kijana ambaye sina historia ya kufanya biashara niliweza kuitumia pesa hiyo kwa kujiongezea kipato.
Ni changamoto kujifunza kuishi na watu usiowafahamu pale inapobidi lakini yapo mambo ya kuzingatia ili kuwa kwenye nafasi nzuri kufanya hivyo.
Ninaposema Corona tunaikaribisha nyumbani namaanisha namna ambavyo tunahusiana na watu ambao wanatupatia huduma tukiwa nyumbani kwa kutuletea bidhaa.
Mkao wako huathiri namna mfumo mzima wa nyonga utakavyokua. Chukulia mfano umekaa katika sehemu ambayo haina uwiano. Upande mmoja utakuwa tofauti na ule mwingine.
Kukuta tabasamu kwenye uso wangu siyo kitu kigeni kwani hakuna ninachokifanya bila kukifurahia.
Hakukuwa na kitu kilichokuwa sehemu yake, licha ya kabati la nguo kuwepo, stendi ya viatu na hata kikapu cha nguo chafu.
Yapo mengi ya kujifunza kutokana na ugonjwa wa Corona ambayo yataathiri maisha yetu hata baada ya ugonjwa huu lakini tukizingatia kanuni za afya tutatoka salama.
Mpaka sasa hakuna dawa wala kinga dhidi ya Corona iliyothibitishwa na wananchi wanakumbushwa kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono mara kwa mara.
Wananchi wanakumbushwa kutumia vyanzo vya uhakika kupata taarifa za Corona ili kuepuka taharuki na wanatakiwa kuchukua tahadhari ya kunawa mikono mara kwa mara, kutumia tishu wakati kukohoa nayo inasaidia.
Siyo kila ugonjwa au tatizo linahitaji dawa na Daktari kukuuliza kuhusu historia ya ugonjwa wako.
Wakati kina baba wakihitaji kuonyesha uwezo wao, msaada wa kutunza fedha, na moyo pale wanapokata tamaa, haya ndiyo wanaume wanashauriwa kuyafanya ili malengo ya wapenzi wao yatimie.
Unaweza kufanya hivyo kwa kumkumbusha kuweka akiba na hata kwa kumuonyesha vipaji vyake asivyoviona.
Kwa kumsaidia yeye, itakupatia amani pale utakapoona amefanikiwa huku ukiwa na mchango kwenye mafanikio yake.