Mambo muhimu ya kutekeleza kabla hujaondoka duniani
Ni kupata muda wa peke yako ili kufikiri na kutafakari tofauti na ulivyozoea. Hii itakusaidia kupata mawazo mapya ya kuendesha maisha yako.
Ni kupata muda wa peke yako ili kufikiri na kutafakari tofauti na ulivyozoea. Hii itakusaidia kupata mawazo mapya ya kuendesha maisha yako.
Njia rahisi za kuushinda ugonjwa huo unaoathiri maungio ya mwili ni kupunguza ulaji wa nyama na unywaji wa pombe lakini ongeza kasi ya kufanya mazoezi.
Kuna mambo mengi yanayowza kukusababisha utafute sababu za kuacha kazi uliyonayo sasa na kutafuta nyingine inayoweza kukamilisha furaha au malengo yako.
Njia bora ya kuacha kuvuta sigara ni kuacha mara moja siyo kuacha taratibu, lakini hii inaweza kuwa changamoto kwa wengi.
Tumia vizuri pesa yako wakati wa mtoko huku ukiwa umeipangilia vizuri ili isiharibu mipango mingine. Kama unaweza, kaa nyumbani na familia yako ili kuepuka gharama kubwa za mtoko.
Licha ya kuibua hisia kwa mtazamaji, filamu hizi zitakufundisha kuwa binadamu mwema ana mapenzi na familia yake. Zinaonyeshwa kwa siku saba kuanzia leo Septemba 27 katika kumbi mbalimbali za sinema.
Mambo hayo ni pamoja na kuwa msikivu, ongea unachokijua kwa ufasaha na tumia lugha ya mwili ikiwemo tabasamu.
Njia za asili za kutatua tatizo hili ni pamoja na kula mlo kamili, kuepuka vinywaji kama pombe na kulala kwenye chumba chenye mazingira na hewa nzuri.
Kama wewe ni mpenzi wa filamu basi filamu hizi mpya zinazoonyeshwa kwenye kumbi za sinema hapa Jijini Dar es Salaam zikiwemo Mlimani City Mall na Mkuki House Mall zitakufaa.
Katika sehemu hii ya pili, utaifahamu lehemu mbaya na vyanzo vyake na namna gani unaweza kuishinda kwa njia rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya.
Yapo matatizo ya kawaida ambayo utakutana nayo ukiwa hotelini ikiwemo kukosa maji ya moto, mapokezi mabovu na hata kelele za majirani zako.
Wingi na usawa wa lehemu kwenye mwili una maana kwani mwili wa binadamu unahitaji kiwango fulani cha lehemu ili kutengeneza vitu kama homoni, vitamini D na baadhi ya vitu vinavyosaidia katika mmen’genyo wa chakula.
Mifumo hiyo ni pamoja na matumizi ya kadi za malipo, kadi za benki na hundi.
Baadhi ya mambo ni kuwa kamwe wateja wako hawataridhika na bidhaa zako na utalazimika kufanya kazi muda mwingi kuliko utakavyo.
Miongoni mwa mambo ya kujizuia ni kusoma kozi kwa kufuata mkumbo.
Kujenga hisia ni kufikia mahitaji na matarajio ya mteja wa bidhaa au huduma zako.
‘Personal Brand’ni utambulisho binafsi unaoakisi mwonekano wako wa mavazi, unavyoongea na unavyotenda mambo.
Usikimbizane na kila mtindo unaoingia sokoni, fanya manunuzi kulingana na ukubwa wa mfuko wako.
Ni pamoja na kutumia mitandao ya kijamii, kuchangia mijadala katika majukwaa mtandaoni na kufuatilia tovuti zinazotangaza fursa za mafunzo.