Maeneo ya kutembelea sikukuu ya Eid
Ni pamoja na sehemu za fukwe na migahawa ili kukutana na marafiki kubadilishana mawazo.
Ni pamoja na sehemu za fukwe na migahawa ili kukutana na marafiki kubadilishana mawazo.
Mtu anaweza kupata minyoo ya tumboni kwa kula chakula au kutumia maji ambayo yana vimelea vya maambukizi.
Kwenye biashara hamna kutegemea bahati, lazima ujenge msingi wa kuwa na wateja ambao watanunua bidhaa zako.
Ni shule ya Dareda ya mkoani Manyara iliyoshika nafasi ya tatu kitaifa na kufanya vizuri katika masomo ya lugha na sanaa.
muwasho huo husababishwa na mzio wa chakula au maambukizi yanayotokana na bakteria au virusi.
Wadau wasema huenda kushuka kwa ufaulu kumechangiwa na ufundishwaji wa somo hilo kwa nadharia badala ya vitendo.
Kwa sasa, siyo makampuni yote yanaangalia uwezo wako wa darasani, yanaenda mbali zaidi.
Bakteria ndiyo maarufu zaidi kwa kusababisha maambukizi yanayosababisha mchafuko wa damu lakini vimelea vingine kama virusi na fangasi pia vina mchango wake.
Biashara ni kazi kama kazi nyingine kwani inahitaji akili, nguvu na maarifa. Kufanikiwa kibiashara yataka utumie akili yako, ujuzi pamoja na nguvu kwa wakati.
Hayo yote yanapatikana katika filamu ya “Lupin” sehemu ya pili ambayo inatikisa jukwaa la kutazamia filamu la Netflix.
Soko kubwa zaidi la bidhaa za Tanzania nje ya nchi ni Afrika Kusini.
Ni kwa kutumia sera za kifedha na njia za kibajeti. Sera za kifedha siyo za moja kwa moja kwa kuwa benki kuu huingiza pesa kwenye uchumi kupitia benki za biashara kwa kutumia zana tumizi na wakati huo huo ikipunguza viwango vya riba.
Ili kuwa na afya nzuri ya akili ni muhimu kuacha baadhi ya tabia hatarishi ikiwemo matumizi ya pombe na madawa ya kulevya.
Mjamzito anashauriwa kutumia lishe bora kwa ajili yake na mtoto wake.
Mtu huyo ni wewe ambaye unatakiwa kuwajibika na maisha yako binafsi bila kusubiri watu wengine wakushike mkono na kukupeleka kule unakotaka.
Loki ambaye ni mungu wa udanganyifu na utundu anajikuta katika kibano cha kulipia makosa yake.
Watanzania wamesema mapendekezo hayo yanaweza kuathiri biashara na sekta ya elimu.
Mama mjamzito anatakiwa kuondoa mzingira yote yatakayompa mawazo ikiwa ni pamoja na uhakika wa hospitali ya kujifungulia.
Ni pamoja na faragha, kusoma tarehe ya mwisho wa matumizi na saizi.
Unahsuriwa kuwa makini na picha unayoichora, sehemu unapochora na ukubwa wa tatoo yako kwani baadhi ya fursa zitakupita.