Unavyoweza kuepuka Corona isitafune pesa zako
Kauli za “nunua hiki hakikisha hukosi kile” kuna wakati zinaweza kukuacha ukiwa umeshika kichwa kwa kuchanganyikiwa.
Kauli za “nunua hiki hakikisha hukosi kile” kuna wakati zinaweza kukuacha ukiwa umeshika kichwa kwa kuchanganyikiwa.
Wataalam wa masuala ya kazi na afya wameeleza mambo mbalimbali yanayoweza kuwasaidia watu wanaofanyia kazi nyumbani kuongeza ufanisi na kuhakikisha afya zao zinakuwa bora wakati wote ikiwemo kufanya mazoezi.
Wamebuni mashine ya kunawia mikono inafunguliwa kwa kutumia miguu na hautumii nguvu nyingi.
Ubunifu huo umedhamiria kuepusha maambukizi ya Corona kutokana na kufunga na kufungua koki ya bomba.
Tamasha hilo ambalo hadi sasa limekusanya kitita cha Sh81 bilioni litahusisha wasanii wengine wakongwe wakiwemo Elton Johnn, Billie Eilish, Burna Boy, Johnn Legend na wengineo wengi wakiwemo Andrea Bocelli na Stevie Wonder.
Baadhi ya mambo yatakayokusaidia ni kununua bidhaa mtandaoni na kukaa umbali wa mita moja na muuzaji.
Kupitia programu hiyo unayoweza kutumia kwenye simu au kompyuta, utapata vifurushi vitatu kikiwemo cha chini (Basic) kati (Standard) na kikubwa (Premium) ambavyo vyote vina bei yake.
Wakati unabagua kazi, fahamu kuwa wapo wadau walioanza kazikama watu wa usafi na sasa ni wanawakilisha Tanzania kwenye mashirika ya kimataifa.
Ni za “City Of Lies” na “Jexi” zilizoanza kuonyeshwa kuanzia jana Machi 27, 2020 hadi Ijumaa ya wiki ijayo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto (UNICEF) limetoa vidokezo vinavyoweza kukusaidia kuwapatia majibu sahihi ya ugonjwa huo na jinsi ya kujilinda nao.
Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania (TMA) imesema mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri kwa kiasi kikubwa mifumo ya mzunguko wa maji kwa namna tofauti tofauti lakini taarifa sahihi za hali hewa zitasaidia mikakati ya upatikanaji wa rasilimali hiyo.
Programu hizo za simu zinamuwezesha mwanafunzi kusoma masomo akiwa mtandaoni au kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS). Zinawasaidia wanafunzi kuwasiliana na walimu na kujadili mada muhimu za masomo.
Huenda ni siku nyingi tangu siku ya wapendanao iishe lakini mapenzi hayategemei siku hiyo kwani filamu ya The Photograph inayoonyeshwa kwenye kumbi ya kumbi za sinema itakufanya “Ufall in love” tena na tena.
Wakiongea na Nukta ( www.nukta.co.tz) leo, baadhi ya madereva wa bodaboda kituo cha Victoria madereva wa daladala katika stendi ya Makumbusho jijini Dar es Salaam wamekiri kutokuchukua tahadhari zinazopendekezwa na wataalam wa afya.
Matumizi ya mashine hizo zinazotumia pampu za maji yanatakiwa yaendane na aina ya uchafu uliopo kwenye gari.
Epuka ukaribu uliopitiliza ikiwemo kukumbatiana na kushikana mikono.
Dk Hating anatumia teknolojia kubadilisha sura ya mtu aliyefanya mauaji ya mpenzi wa Garrison na kumtumia Garrison kulipiza kisasi akiwa hajua kuwa anatumika.
Wakati “Ip Man” ikikufundisha umuhimu wa kufikiria kabla ya kutenda jambo, “Onward” itawafundisha watoto jinsi ya kujiamini na umuhimu wake.
Uchambuzi programu ya Google Trends kuhusu kufuatiliwa kwa wasanii hao Youtube, mtanange baina yao sio haba licha ya kuwa Harmonize anaongoza kwa muda mrefu ikilinganishwa na wenzake.
Inaelezea jinsi wanyonge wanavyotaabika kwa kukosa wawakilishi bora mahakamani.
Ni filamu ya “The Call of The Wild” inayoonyeshwa wiki katika kumbi za sinema Tanzania. Inasimulia kisa cha mbwa aitwaye “Buck” anayetenganishwa na familia yake lakini baadaye anakuja kutambua kusudi lake.