Watumiaji wa ving’amuzi wapungua kwa asilimia 3.2 Tanzania
Tangu mwaka 2014, idadi ya watumiaji wa ving’amuzi imekuwa ukiongezeka kila mwaka hadi kufikia mwaka 2018 kabla haijapungua hadi milioni 2.68 mwaka uliofuata.
Tangu mwaka 2014, idadi ya watumiaji wa ving’amuzi imekuwa ukiongezeka kila mwaka hadi kufikia mwaka 2018 kabla haijapungua hadi milioni 2.68 mwaka uliofuata.
Baada ya Slim kumuua polisi huyo kwa bastola, taarifa za wawili hao zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakiwabatiza jina la wauwaji wa polisi.
Filamu hii siyo tu atakuondolewa upweke na msongo wa mawazo bali utakuacha na kicheko ambacho kitakusahaulisha matatizo yako yote.
Zingatia kusoma maelekezo vizuri yaliyowekwa kwenye vifaa hivyo kabla ya kutumia.
Kama bado haujaelewa nini kilitokea mwaka 1917, siyo makosa yangu somo la historia lilikupita wakati likielezea vita ya kwanza ya dunia lakini itakuwa ni kosa kama sitakujuza juu ya filamu hii mpya ya “1917”.
Na hiyo ndiyo sababu kubwa ya kuhakikisha kuwa hauikosi filamu ambayo inasindikiza mwisho wa mwezi huu kabla hujaingia mwingine.
Askari mpelelezi Mike Lowrey (Smith) na mwenzake Marcus Burnett (Lawrence) wamefanya kazi nyingi sana pamoja. Kukamata majasusi wakubwa na kufichua kesi nyingi ambazo wahalifu walifikiria wamefyeka kila aina ya ushahidi, haikuwa jambo geni kwenye kazi zao.
Njia hizo ni pamoja na kutunza pesa nyumbani, benki, kwa njia ya simu za mkoni au kununua hisa.
Hali hiyo, siyo jambo la kushangaza kwa watu wenye magari binafsi hasa katika maeneo yenye viwango vya juu vya joto likiwemo jiji la Dar es Salaam ambalo mpaka jana lilifikia sentigrdi 33, kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
Siku mbili baada ya Baraza la Mtihani la Taifa (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne ya mwaka 2019, wadau wa masuala ya elimu wameeleza mambo mambo yanayotakiwa kufanywa ili kuongeza ufaulu na kuwasaidia watahiniwa waliofeli kutumiza ndoto
Inasimulia kisa cha daktari anayeweza kuongea na wanyama lakini anakutana na misukosuko mingi baada ya baadhi ya vijana kuingilia mambo yasiyowahusu.
Kila mmoja wetu kwa nafasi yake kuanzia Serikali, wazazi na walezi, walimu na wadau wengine tunaweza kufanya jambo na kuwasaidia wanafunzi kuinua ufaulu wao ili kujiendeleza kielimu na kuwa tayari kukabiliana na changamoto za maisha.
Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) kutangaza matokeo ya mitihani wa kidato cha nne iliyofanyika Oktoba mwaka jana na kuonyesha kuwa asilimia 20.03 tu ya wanafunzi wote waliofanya mtihani wa somo la hisabati ndiyo wamefaulu.
Kama wewe ni maridadi wa mitindo, tumia dondoo hizi kuhimili na kukabiliana na joto hasa katika jiji la Dar es Salaam na Tanga ili kukuhakikishia afya njema:
Mbali na mwendokasi na ulevi vinavyojulikana kuwa visababishi vikubwa vya ajali za barabarani, kusinzia wakati wa kuendesha gari pia ni moja ya sababu zinazochangia kukatili maisha ya maelfu ya Watanzania wakiwa barabarani.
Leo (Januari 7, 2019) zimeibuka sura za wasanii wengine kwenye chati za ubora za Youtube ambazo awali zilishikiliwa na Diamond na Harmonise.
Inawezekana hufahamu kuwa zipo tabia za matumizi ya maji yasiyofaa katika nyumba yako yanayochangia kubadilika mara kwa mara kwa bili ya maji. Baadhi ya tabia hizo ni kufua au kuosha vyombo mara kwa mara.
Fanya tathmini ya mwenendo wa sasa biashara na angalia fursa zilizopo mbele yako huku ukikubali mabadiliko ya teknolojia na achana na mifumo ya zamani ya biashara.
Ni viyeyusha sumu vya asili ikiwemo kitunguu swaumu, mkaa na ndizi mbivu ambavyo hutumika kupunguza makali ya sumu au maumivu kabla ya kwenda hospitali.
Tutamwaga habari za data zilizochambuliwa kwa kina na kwa lugha rahisi kuwasaidia vijana kubaini fursa na kutatua changamoto zinazowakabili.