Ujumbe wa mwisho wa Mengi kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii
Ujumbe huo ulihusu urafiki na biashara aliuandika Aprili 23, 2019 ambapo ndiyo ulikuwa ujumbe wa mwisho kuwekwa katika ukurasa wake wa Twitter mpaka mauti yalipomkuta.
Ujumbe huo ulihusu urafiki na biashara aliuandika Aprili 23, 2019 ambapo ndiyo ulikuwa ujumbe wa mwisho kuwekwa katika ukurasa wake wa Twitter mpaka mauti yalipomkuta.
Miezi mitano kabla ya kifo chake alifanikiwa kufanya uwekezaji mkubwa wa takriban Sh101 bilioni wa ujenzi wa viwanda vikiwemo vya magari na simu ambao ukiendelezwa utaleta matokeo chanya katika ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Watanzania wanaitumia siku ya leo kwa kukaa majumbani na kumpuzika na familia zao, hakuna shamrashara za halaiki ya vijana, gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama wala hutuba za viongozi.
ili Tanzania na nchi nyingine za Afrika zikamilishe Malengo ya Maendeleo Endelevu ya 2030 inatakiwa kuzigeukia jamii za watu wanaoishi vijijini kwa kuboresha mifumo ya uzalishaji mazao ya kilimo.
Pasaka itakuwa na maana kama itatumika kutafakari vionjo muhimu ya maisha ikiwemo kuzingatia uhuru usiopitiliza na kuwakumbuka walio chini yako.
Elimu ya kulipa kodi iwe kwa wote na TRA kuweni rafiki na mlipakodi na kwa lugha inayohamasisha kulipa kodi.
Mjasiriamali aliyefanikiwa anaishi maisha ya kawaida yanayoendana na jamii inayomzunguka huku akizingatia uadilifu, uaminifu na kuwekeza katika kuimarisha thamani ya huduma na bidhaa anazotoa.
Baadhi ya wachangiaji katika ukurasa wa Twitter wamemsifu kwa umahiri wake wa kusimamia Katiba na kutoa ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali ya mwaka 2017/2018 licha ya Bunge kukataa kufanya naye kazi.
Ni nafuu na rahisi kuwafikia wateja wengi kwa wakati mmoja na inasaidia kuimarisha mahusiano ya kibiashara bila kuathiri umbali na mazingira ya muuzaji na mtumiaji wa bidhaa au huduma.
Mafanikio ya chochote unachokifanya ili kukuletea tija katika maisha yanatagemea zaidi mapenzi uliyonayo juu ya kile unachoweka mkono wako kufanya.
Ongeza ubunifu, kamilisha kazi kwa wakati na jichanganye na marafiki wachapa kazi wenye malengo ya kufika mbali kimaisha.
Kuna wanawake wengi wanafanya mazuri lakini kwa sababu mbalimbali mchango wao umekuwa haufahamiki.
Jifunze kutatua matatizo katika jamii yako na kukubali kujichanganya na watu wenye uwezo na ujuzi unaolingana na mipango yako.
Hakikisha unaflashi choo, funika kwa karatasi na kusafisha eneo la kukaa kwa dawa ya kuua bakteria.
Kabla hujaanza kufanya biashara wafahamu wateja, washindani wako na jinsi ya kupata mtaji kuendeleza biashara yako.
Jenga nidhamu ya matumizi mazuri ya fedha, mawasiliano, fanya unachokipenda na ikiwezekana tembelea maeneo mbalimbali ili kupanua uelewa wako wa maisha.
Kujipiga picha kwa kutumia simu mara kwa mara na kuziweka mtandaoni kunahusishwa na ugonjwa wa akili wa ‘Selfitis’ na usipodhibitiwa unasababisha kifo.
Eneo la biashara, utoaji ofa na bei vinachangia katika kukuza soko la biashara yako.
Katika hali tusiyoitarajia, baada ya mama kujifungua kukiwa na mwanga wa umeme katika Zahanati ya Marumba, wilayani Tunduru, waliamua kumuita mtoto wao aliyezaliwa “SOLAR” kuonyesha furaha yake.
Miongoni mwa majukumu aliyonayo mwekezaji ni kukuunganisha na watu mbalimbali ili uweze kukuza soko la biashara yako.