Tabia tano kukuhakikishia afya bora kuendeleza biashara yako
Ni pamoja na kula mlo kamili, kufanya mazoezi, kuacha uvutaji na unywaji wa pombe uliopitiliza na kuepuka unene uliopitiliza.
Ni pamoja na kula mlo kamili, kufanya mazoezi, kuacha uvutaji na unywaji wa pombe uliopitiliza na kuepuka unene uliopitiliza.
Ni kuanza kutumia rasimali zinazowazunguka na kujenga mahusiano mazuri na wawekezaji wenye nia ya kuendeleza kampuni zinazochipukia.
Ainisha mipango ya muda mfupi na muda mrefu ili kufahamu kiasi cha pesa kinachohitajika katika utekelezaji wake.
Ni miongoni mwa mikoa 10 iliyofanya vibaya katika matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018.
Orodhesha mapato na matumizi kabla ya kuanza kutumia pesa.
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja ambao umetolewa kuhuhu minara hiyo kusababisha udhaifu huo mwilini.
Huusisha matumizi ya nishati mbadala, vifaa vya kielektroniki na urejelezaji wa taka ili kuifanya dunia kuwa sehemu nzuri ya kuishi.
Mambo hayo ni pamoja na kuweka maudhui ya upotoshaji dhidi ya wateja yasiyoendana na biashara yako.
Ubunifu siyo jambo linalofanywa na wasomi pekee. Hata ambao hawajaenda shule ni lazima wafanye ubunifu kwa ajili ya biashara zao.
Wabunifu wanatumia kama mapambo ya taa, viti ili kuongeza mvuto na kuendeleza utamaduni wa Afrika.
Itaziunganisha bandari za Tanzania, Kenya na Uganda huku ikiongeza usafirishaji wa abiria na bidhaa katika ukanda huo.
Tafsiri hutofautiana kulingana na muda, kazi au aina ya biashara inayofanyika katika eneo husika.
Hakikisha unachunguza afya ya mtoto wako na kumjengea mazingira ya kumka mapema ili kumuanda kiakili kwenda shuleni.
Waandishi wa nukta.co.tz wamechagua vielelezo mbalimbali vya habari hasa za takwimu ambavyo vilitoa habari zilizojificha na kuwasaidia wasomaji kuelewa mambo kirahisi.
Mitikisiko hiyo ilizua sintofahamu ya kuadimika na kupanda kwa bei ya mazao na bidhaa hizo zikiwemo korosho, kahawa, mbaazi, sukari na mafuta ya kula kwa kipindi fulani.
Lugha nzuri ni asali ya kuvutia wateja wengi, jeuri na dharau vitatakurudisha nyuma na jitahidi kujenga mwenekano unaowavuta wateja wengi kwa kuwa msafi na kuweka mazingira ya biashara vizuri.
Panga vizuri malengo yako, weka bidii kufanya kazi huku ukitanguliza uvumilivu na epuka kupoteza muda kwa vitu visivyo na maana.
Jipange na tengeneza bajeti kabla ya kununua bidhaa na fanya manunuzi mtandaoni, epuka gharama kubwa zisizo na msingi ili kuwafurahisha watu.
Tembelea ndugu, jamaa na marafiki uweze kudumisha mahusiano yenu vizuri.
Mashirika ya umma na yasiyo ya Serikali yaombwa kuwakumbuka vijana waliopo vijijini ili kuwafungulia fursa za kiuchumi.