Unavyoweza kujikinga na magonjwa ya figo
Ni kupitia kufanya mazoezi, kula mlo kamili na kunywa maji ya kutosha.
Ni kupitia kufanya mazoezi, kula mlo kamili na kunywa maji ya kutosha.
Ni kwa kukaa karibu na uwapendao, kufanya mazoezi na kupumzika.
Filamu inamhusu kijana mwenye ndoto za kuwa mwandishi wa habari za uhalifu anayekutana na chokoraa Max Fist.
Ni vyakula vyenye uwiano mzuri wa virutubisho vitakavyokusaidia kupata nguvu ya kufanya kazi.
Kila kitu huwa sawa hadi pale “utakapoiweka pua yako mahala isipostahili” na kwa Jim Hanson, huenda “pua” yake ikamponza
Ni pamoja na kufahamu jina la muajiri, muda wa mkataba na majukumu ya kazi yako.
Siyo kila miwani inafaa kuvaliwa na kila mtu hivyo inahitaji mambo mengi kuzingatiwa wakati mtu anachagua miwani kwa ajili ya jua au kuongeza urembo.
Mafunzo ya familia, visasi na burudani ni kati ya vitu unavyotakiwa kujiandaa kuvipata endapo una miaka zaidi ya 16.
Mabinti hao sio “vipanga” tu wamebarikiwa na vipaji vinavyoambatana na ubora wao darasani.
Ni pamoja na kupendelea kutumia sabuni zilizotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia.
Kwa mujibu wa matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2020, ni asilimia 20.1 tu ya watahiniwa 434,654 waliofanya mtihani huo, ndiyo wamefaulu somo la hisabati
Unashauriwa kuongea na wataalamu ili kupata makeup inayokufaa na kuendana na ngozi yako.
Ni pamoja na kuendelea kufuatilia mwenendo wa mtoto wako akiwa shuleni kitaaluma na kinidhamu.
Ni pamoja na matunda na mboga za majani.
Huenda jibu la wengi likawa ni kuzika mwili, kuomboleza na kuendelea na maisha yao. Kwa filamu hii, mambo ni tofauti.
Mbali na kuokoa gharama za usafiri, huenda ikakurahisishia kupata chakula kizuri cha nyumbani.
Baadhi ya tabia walizo nazo vijana ndiyo sababu ya wao kukutwa na changamoto hii.
Pata muda mzuri wa kuusoma na kuelewa vipengele vyote vya mkataba.
Inamhusu Diana ambaye ni mwanadada anayenuwia kuukomboa ulimwengu kutoka kwa watu wabaya.
Wanunulie vitu vitavyowasaidia kupunguza changamoto za maisha.