Unavyoweza kumsaidia mtoto kutimiza ndoto za maisha
Mambo hayo ni pamoja na kumfundisha michezo na stadi za kazii, kunoa kipaji chake na kumsikiliza kujua anataka nini.
Mambo hayo ni pamoja na kumfundisha michezo na stadi za kazii, kunoa kipaji chake na kumsikiliza kujua anataka nini.
Diamond Platnumz aongoza kwa kuwa na wafuasi wengi pamoja na watazamaji wengi zaidi huku Harmonize akiwakimbiza wote kwa kuwa na maudhui mengi YouTube.
Mbali na mwili kuchoka, uzee huja na changamoto zingine zikiwepo kukosa usingizi na maungio kukosa uimara.
Usajili wa nembo yako ya biashara unasaidia kuilinda nembo hiyo kisheria kuliko kuendesha mambo yako kienyeji.
Licha ya kuwa April alikuwa na kila kitu cha kumfikisha kwenye ndoto zake, yaani jitihada, nguvu, bidii na kila kitu, alikosa maadili na nidhamu na hapo ndipo njiapanda ilipoanzia.
Badala ya kunywa soda au juisi pale unaposikia kiu, unashauriwa kunywa maji mengi kukata kiu chako.
Kundi la watoto wanne wanaanza safari kumtafuta mama na baba yao ambaye wanaamini “ametekwa na maninja”.
Ndani ya miezi sita ya mwanzo, mtoto anatakiwa kupewa maziwa kama chakula pekee bila kuongeza uji na maji.
Ukifika umri fulani hasa kwa wanawake utasikia unaolewa lini? Nani alisema miaka 30 ni lazima uolewe?
Ukipata maumivu ya kisaikolojia au kifisiolojia, muone daktari akusaidie.
Ulaji wa wanga unapaswa kuendana na aina za kazi tunazofanya na namna tunavyofanya.
Endapo leo hii atatokea mtu na kukueleza kuwa ana kidonge ambacho ukikimeza, kinakupa nguvu mbadala kwa dakika tano, wewe ungependa upate nguvu ipi?
Mkapa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Julai 24, 2020 jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa hospitalini, kwa mujibu wa Rais John Magufuli aliyetangaza kupitia televisheni ya Taifa (TBC).
Ni fedha ya kuiwezesha kampuni hiyo kupanda miti bilioni moja
Ni kupitia manunuzi ya kila siku ambayo umekuwa ikiyafanya huku yakikulazimu kulipia vitu vidogo vidogo vikiwemo mifuko ya kubebea bidhaa na huduma za usafirishaji.
Hujulikana kama Joint Venture ambayo huunganisha kampuni mbili au zaidi ambazo zinakusanya nguvu zao kuwekeza katika miradi mikubwa.
Inamuhusu mwanadada Ellie ambaye alichepuka mara moja tu na kujikuta akiwindwa na mchepuko wake.
Mtandao huo kwa mwaka 2020 peke yake, umesajili watu milioni 26 ambao ni pungufu ya milioni mbili tu kuifikia idadi ya watu waliojisaliwa mwaka wa 2019.
Kasi ya kupanda miti imekuwa ndogo kutokana na changamoto ya janga la Corona ambayo imesimamisha shughuli nyingi za kijamii duniani.
Ni mtindo mbovu wa maisha ambao humaanisha afya dhoofu na zilizo wazi kushambuliwa na magonjwa ikiwemo kukosa mazoezi, mapumziko, kutokunywa maji ya kutosha na ulaji mbaya wa vyakula.