Corona: Hatari inayowakabili wavuvi, wafanyabiashara wa samaki
Baadhi yao wanatumia barakoa kwa dharura tu kuingia sokoni na si kujikinga huku Serikali ikisema itaendelea kuwaelimisha.
Baadhi yao wanatumia barakoa kwa dharura tu kuingia sokoni na si kujikinga huku Serikali ikisema itaendelea kuwaelimisha.
Walalamika kushuka kwa soko la samaki na dagaa kulikochangiwa na janga la Corona duniani.
Mechi yao inachezwa katika mkoa ambao upo hatarini kutokana na mwingiliano wa watu kutoka mataifa jirani.
Baadhi wanauona ugonjwa huo kama wa kawaida na hawachukuii tahadhari zinashauriwa na wataalamu kiasi cha kuhatarisha afya zao.
Ni uraghabishi ulioshawishi watu kuwabana viongozi wao vijijini ili wananchi wapate maendeleo.
Ni wakazi wa Bunigonzi wilayani Mbogwe ambao wamekamilisha ujenzi wa boma la kituo cha afya huku wakisubiri Serikali ikamilishe hatua iliyobaki ili kianze kutoa huduma kwa wananchi.
Huenda wanafunzi walioanza kusoma katika Shule ya Sekondari ya Isebya mkoani Geita wakasubiri zaidi kuboreshewa huduma za elimu baada ya kuandamwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ruzuku ya Serikali.
Ni wakazi wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wanajenga madarasa katika Shule ya Sekondari Masumbwe kumaliza msongamano wa wanafunzi madarasani.
Ni wakazi wa Wilaya ya Mbogwe ambao wamepata mwamko wa kuhoji, kufuatilia kwa ukaribu mapato ya miradi ya maendeleo na kuchagua viongozi wenye weledi na uadilifu.
Ni mmoja wa mafundi wachache wanaoendelea kushona barakoa katika Manispaa ya Kigoma/Ujiji licha ya mwamko mdogo wa watu kuvaa barakoa.
Ni wanawake wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita waliokataa kuwa nyuma kama mkia wa kondoo. Wanakamatia kila fursa ya kuwatoa kimaendeleo.
Ni wakazi wa kata ya Bunigonzi wilayani Mbogwe ambao wamejenga shule ya sekondari hadi usawa wa lenta wanaisubiri Serikali imalizie sehemu iliyobaki ili ianze kufanya kazi.
Ni boma la zahanati ya Isebya iliyopo kata ya Isebya mkoani humu ambalo limejengwa kwa nguvu za wananchi wanaosubiri Serikali ikamilishe ili ianze kufanya kazi.
Ni pamoja na kuepuka vichochezi ikiwemo mwanga mkali, sauti kubwa na msongo wa mawazo.
Ni kwa kutoa elimu na kujenga miundombinu rafiki kwa watoto ikiwemo njia za watembea kwa miguu karibu na shule ili kuwakinga na ajali ambazo zimekuwa zikikatisha ndoto zao.
Baadhi ya watu wameendelea kuwa na dhana potofu dhidi ya ugonjwa huo ikiwemo kuhusisha na imani za kishirikina.
Ugumu wa kazi ya ubunifu wa grafiki huanza na ulazima wa kutenga muda wa kujifunza na utayari wa kufanya kazi mbele ya kompyuta kwa muda mrefu.
Katika sanaa ya uchoraji, kupata masoko inaweza kuwa changamoto lakini kama umewekeza ipasavyo, unaweza kufanikiwa.
Licha ya kuwa sanaa haifi, wachoraji wasisitizwa kuendana na teknolojia ili waendelee kubaki sokoni.
Ni sababu ya baadhi kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kila siku huku jamii ikiwachukulia kama wazembe na watoa visingizio.