Tabia zitakazokusaidia kuepuka madhara ya unywaji wa pombe uliopitiliza-2
Licha ya kuwa pombe ni sehemu ya starehe, kinywaji hicho kinaambatana na madhara mbalimbali ya kiafya kama itatumiwa isivyo.
Licha ya kuwa pombe ni sehemu ya starehe, kinywaji hicho kinaambatana na madhara mbalimbali ya kiafya kama itatumiwa isivyo.
Matumizi ya pombe kwa baadhi ni chanzo cha ajali za barabarani na aibu ya kudumu.
Shughuli za kiuchumi kama ukaushaji wa samaki kwa moshi na uchimbaji holela wa madini zatajwa kuwa chanzo cha saratani kanda ya ziwa.
Tatizo hilo linasababisha saratani ya mapafu na moyo, changamoto ya macho, ugumba na magonjwa mengine ambayo huongeza umaskini kwenye familia.
Mikoa ya Kanda ya Ziwa inatajwa kuongoza kuwa na wagonjwa wengi wa saratani kutokona na mambo mbalimbali ikiwemo matumizi ya kemikali ya zebaki na samaki wa moshi.
Kifo chake kiliacha simanzi na majonzi kwa wananchi wa Tanzania lakini ataendelea kukumbukwa daima huku moja ya kumbukumbu hizi ni kuasisi ujenzi wa daraja la Kigongo-Busisi lilipo Ziwa Victoria ambalo ujenzi wake unaendelea.
Ni nyumba tatu kati ya nyumba 43 zilizopo kando ya Ziwa Victoria katika mtaa wa Ziwa jijini Mwanza kuzingilwa na maji baada ya mvua kubwa iliyoinyesha mwaka 2020.
Waandishi wavitumia kuhamasisha wasichana kuingia katika fani ya sayansi kwa wingi ili kuongeza wataalam wa kike.
Ni Flora Lauwo, mkazi wa Mwanza na mjasiriamali wa masuala ya urembo. Amekuwa mstari wa mbele kupambana na ukatili wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake Kanda ya Ziwa.
Matumaini ya kuokoa ndoa na uhai wao yapo kwa wataalam wa afya waweze kuwapatia chanjo au tiba ya uhakika kukabiliana na tatizo hilo.
Watoto saba wa mama mmoja wakatwa miguu wakiwemo watoto wadogo kutokana na ugonjwa wa ajabu unaoshambulia viungo vya mwili.
Ni vijana wa mkoani Arusha ambao wanatumia teknolojia ya aina yake ili kupunguza tatizo la uharibifu wa mazingira na ukosefu wa ajira kwa vijana.
Licha ya kuwa wapo waliofanikiwa kupata wenzi wao kwa njia ya mitandao ya kijamii, bado baadhi ya wadau wanasita kuona hilo linawezekana.
Baada ya kuvuka miaka 25, kwa baadhi ya vijana macho ya ndugu na jamaa huhamia vidoleni yakitafuta pete ya uchumba au ya ndoa. Lakini uamuzi wa kuingia kwenye ndoa ni wa mtu binafsi.
Biashara hiyo haifanyiki kwa utimilifu kwani muziki unaowekwa, ni tofauti na matangazo yanayotolewa na inawakosesha wasanii na Serikali mapato.
Ngozi yako bado ni nzuri haihitaji kubadilishwa bali kutunza vizuri na bado ukavutia na kupata urembo unaoutaka.
Madhara ya kujichubua huwatumbukiza wahusika kwenye umaskini wa kipato ambao siyo rahisi kutoka.
Kati ya gharama hizo ni kujiingiza katika hatari za kiafya zinazoweza kusababisha kifo.
Baadhi ya watu wanasema siyo sahihi kuwahusisha mapacha na mikosi kwa sababu watoto wote ni baraka kutoka kwa Mungu.
Gharama za tambiko ikiwemo chakula, zawadi kwa mtemi vyote huwa juu ya anayefanyiwa tambiko huku
baadhi ya watu hushindwa kumudu gharama hizo.