Siri iliyofichika watoto mapacha kuhusishwa na “mikosi” Kanda ya Ziwa-2
Matambiko kwa ajili ya kuondoa “mikosi” hutegemea aina ya watoto mapacha waliozaliwa.
Matambiko kwa ajili ya kuondoa “mikosi” hutegemea aina ya watoto mapacha waliozaliwa.
Baadhi ya watu katika kabila la wasukuma wanaamini watoto mapacha wanashikilia hatma ya familia na wasipofanyiwa tambiko husababisha laana.
App hiyo inawawezesha wanawake kuongea na wataalamu wa afya kuhusu masuala ya uzazi wakati wowote.
Gharama za harusi hutofautiana kulingana na mila, uwezo wa kiuchumi na mtazamo wa jamii kuhusu ndoa.
Mgongano baina ya waoaji na wazazi pia hupelekea kuwepo kwa ndoa zenye gharama baada ya wazazi kuwa na maono juu ya ndoa za wototo wao.
Wakati wengine wakijiuliza juu ya gharama za harusi, wapo ambao wanafanya sherehe zinazogharimu mamilioni.
Maua ni njia mojawapo ya mawasiliano na kila rangi ya au hubeba ujumbe fulani kwa mtu anayepokea.
Wakati wengine wakifikiria ni kitendo cha upendo wengine wanasema ni kupoteza fedha kununua maua.
Mahitaji ya maua hasa ya asili yanazidi kuongezeka, jambo linalotoa fursa kwa wakulima kufaidika na zao hilo ikiwa watawekeza nguvu zao.
Zipo fursa za kibiashara ambazo watu wanaweza kuangazia zikiwemo uuzaji wa chakula, huduma za malazi na usafiri.
Baadhi yao wapendekeza Serikali mpya itakayochaguliwa iwasomeshe wanafunzi bure na kuboresha mazingira ya kusomea vyuoni.
Vyama hivyo kikiwemo chama tawala Chama cha Mapinduzi (CCM) vimeeleza katika ilani zao na baadhi ya mikutano ya kampeni namna vitakavyoboresha mazingira ya upatikanaji wa kodi usiowaumiza wananchi.
Uchambuzi wa ilani tatu za vyama vya CCM (Chama Cha Mapinduzi), Chadema (Chama Cha Demokrasia na Maendeleo) na ACT-Wazalendo (Alliance for Change and Transparency) za mwaka 2020-2025 kuhusu uchumi huo na namna zitakavyoujenga ili ulete manufaa kwa wananchi
Mazingira yasiyoridhisha ya kazi ni moja ya sababu zinazochangia hali hiyo huku Serikali ikisema itaendelea kuongeza idadi ya walimu ili kukidhi mahitaji.
Bidhaa hizo hutumika kuwadhibiti tembo wasivamie na kuharibu mazao ya wakulima yaliyopo shambani.
Katika baadhi ya maeneo, tembo wanavamia na kuharibu mazao ya wakulima na mashine za kusagia nafaka.
Baadhi wamesema wanawake waachwe wafanye wanachokitaka kuhusu nywele zao licha ya kuona kuwa ni kiashiria cha kutokujiamini.
Baadhi ya dawa za kulainisha nywele zinakuwa na kemikali ambazo siyo rafiki kwa mwili wa binadamu.
Kutofuata masharti kwa kina ya kutunza nywele asilia kumewafanya wengi kushindwa na kurejea kwenye nywele za dawa, ambazo baadhi ya wataalamu wa afya wanashauri kuwa siyo nzuri kiafya.
“Niliweka kila kitu. Kila dawa ninayomudu nimetumia lakini nikikutolea hili wigi, utashangaa kuona “tunywele” “nilitonato,”