Kijana aliyeahirisha masomo elimu ya juu kuwafungulia fursa wanafunzi wa sekondari Tanzania
Anaendesha programu ya mafunzo shuleni ya kuwaunganisha wanafunzi na watu waliofanikiwa kitaaluma.
Anaendesha programu ya mafunzo shuleni ya kuwaunganisha wanafunzi na watu waliofanikiwa kitaaluma.
Fursa hizo zinaweza kuwasaidia vijana hao kutotegemea ajira ni pamoja na kufanya kazi za ushauri wa kifedha na dalali msomi.
Ana miaka 23 na anamiliki kampuni ya J Sisters inayoendesha miradi ya kiuchumi zaidi ya mitano.
Mkoa wa Lindi mwaka huu umekuwa wa kwanza kitaifa baada kufaulisha wanafunzi wake wote kwa asilimia 100 kama ilivyofanya Mtwara mwaka 2018.
Mwaka huu wanafunzi 58 kati ya 60 wamepata daraja la kwanza huku wawili wakipata daraja la pili na haijawahi kutoka katika orodha ya shule 10 bora kitaifa kwa miaka nane mfululizo
Lipo General Studies ambalo huchukuliwa poa na wanafunzi wa ngazi hiyo ya elimu. Hesabu, Kemia na Fizikia bado mziki mzito.
Shule hizo ni zile zilizoingia katika orodha ya 10 bora zaidi ya mara mbili katika kipindi cha miaka saba iliyopita.
Mwaka 2018 mkoa huo ulishika nafasi ya kwanza kitaifa ambapo wanafunzi wake wote walifaulu kwa asilimia 100.
Shule hizo ni Al-Ihsan Girls na Ben Bella za Mjini Magharibi, Zanzibar na Meta ya mkoani Mbeya ambazo zimeingia kwenye orodha ya shule 10 za mwisho zaidi ya mara moja katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.
Tathmini ya muda uliobaki kabla ya kufanya mtihani ifanyike ili kutoa kipaumbele kusoma notsi chache na masomo unayoyaelewa zaidi na kuhakikisha afya ya akili na mwili iko sawa kuukabili mtihani.
Matumizi ya teknolojia ikiwemo simu za mezani na kamera maalum za CCTV yanaweza kusaidia kudumisha uhusiano na kufuatilia usalama wa mtoto akiwa nyumbani.
Wamesema wanafunzi wanatakiwa kujiona washindi, kujiamini, kushirikiana na kufanya marudio ya waliyosoma kwa miaka miwili.
Sekta hizo ni madini, uwekezaji, elimu, ajira na utalii ambazo zina mchanga mkubwa katika Pato la Taifa na ukuaji wa uchumi kila mwaka.
Maeneo hayo yanagusa sekta kama kilimo, fedha, mazingira, uchumi ambayo yanahitaji teknolojia rahisi kutatua changamoto cha jamii.
Mpaka kufikia Septemba 2018 kulikuwa na vituo 43 katika mikoa tisa ya Tanzania bara na vinne tu vipo Zanzibar.
Ni uvumbuzi utakaowasaidia wanawake wasiokuwa na fedha kumuda taulo hizo za kike za kijisitiri.
Ni miongoni mwa Apps zinazowarahisishia wanafunzi kupata maudhui ya vitabu na masomo katika viganja vyao na kuwaondolewa changamoto ya ukosefu wa vifaa vya kujifunzia shuleni.
Mfumo huo wa malipo unafanya kazi kwa kutumia kamera ya simu janja ambayo inaskani msimbo (CODE) na kisha kukamilisha malipo ndani ya muda mfupi.
Wataalam wa afya wameeleza kuwa tabia hiyo ikizidi inaweza kuathiri afya na mwenendo wa ujifunzaji darasani.
Chati hizo zinabainisha hali hali ya usawa wa kijinsia katika sekta mbalimbali za maendeleo ambazo zinagusa zaidi maisha ya wanawake na watoto.