Mfahamu mwanamke nguli anayehubiri teknolojia ya Blockchain Tanzania
Ni mmoja wa wanawake wa kwanza nchini ambaye amechukua kozi ya umahiri kwenye teknolojia hiyo inayokua kwa kasi duniani.
Ni mmoja wa wanawake wa kwanza nchini ambaye amechukua kozi ya umahiri kwenye teknolojia hiyo inayokua kwa kasi duniani.
Kwa sasa anafanya utafiti wa kina wa viumbe vidogo vidogo kwenye udongo utakaosaidia kuongeza tija katika sekta ya kilimo nchini hasa katika kukabiliana na magugu sumbufu kwa mazao ya nafaka.
Licha ya kupata tuzo, bado tamthilia iliyompatia ushindi ya ‘Safari Yangu’ bado haijapata mteja wa kuirusha kwenye televisheni.
Wanasayansi wanasema ugumu wa kusoma lugha ya pili unajitokeza zaidi mtu anapovuka miaka 10.
Katika kipindi cha miaka saba iliyopita, Serikali haikufanikiwa kuingiza hata shule moja katika 10 bora matokeo ya mtihani wa kidato cha nne huku ikichuana vikali na shule binafsi katika matokeo ya kidato cha sita.
Awakumbusha wajibu wa kusoma kwa bidii, kuachana na starehe ili kuongeza ufaulu na kufika katika kilelele cha ndoto zao.
Alikuwa mwanafunzi bora kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 1998/1999 ambaye ndoto yake ilianza kutimia alipopata fursa ya kuingia ndani ya kichwa cha treni wakati huo akiwa darasa la tano.
Alikuwa mwanafunzi bora kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 1988, amejikita katika kufundisha somo la hisabati.
Ni wale waliotamba miaka ya nyuma katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha nne na kusomea masomo ya sayansi.
Ni miongoni mwa wavuvi waliokuwa wanavua samaki kwa kutumia dhana haramu ambapo mmoja alikatika kidole na kushudia wengine wakifariki kwa kulipukiwa na mabomu.
Sekta nyingine kama utalii na biashara zimeathiriwa kwa kutokana na uvuvi wa mabomu huku baadhi ya wavuvi haramu walifariki na kupata vilema.
Wataalam wanaeleza kuwa samaki anakuwa mlegevu, mifupa yake imevunjika na hubadilika rangi hasa kwenye mapezi na wakitumiwa na binadamu husababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo saratani.
Mbinu hizo ni pamoja na msako wa baharini na wa nyumba kwa nyumba katika maeneo yaliyokuwa vituo vikuu vya uvuvi huo haramu jijini hapa.
Aliacha kazi yenye maslahi mazuri ikiwemo kufundisha vyuo mbalimbali na kujikita katika upigaji picha akiamini ni shughuli inayomfaa na kumuendeleza kimaisha
Mkoa huo umeshika nafasi ya mwisho kati ya mikoa 26 ya Tanzania Bara ikiporomoka kwa kasi kutoka nafasi ya 13 mwaka jana.
Ni biashara aliyoazimia kuifanya tangu akiwa mdogo ili kuendeleza wito walioitia kwenye familia yake.
Tafiti zinaonyesha watoto hawapati muda wa kucheza kwasababu ya ukosefu wa vifaa na viwanja vya michezo shuleni.
Wimbo huo ulioingia Youtube Aprili 14, 2018 umetazamwa na watu wengi zaidi tangu mwaka huu uanze na kuzifunika nyimbo zingine za wasanii maarufu Tanzania.
Ni ule wa kujenga shimo la choo kwa mtindo wa tanuru lenye bomba dogo la kutolewa hewa.
Maandalizi hafifu yatajwa kuchochea wanafunzi kutumia mbinu zisizo halali kufaulu mtihani.