Shule za Serikali zinavyoweza kuepuka matokeo mabovu darasa la saba
Kwa miaka mitatu mfululizo shule za Serikali hazijafanikiwa kuingia 10 bora kitaifa
Kwa miaka mitatu mfululizo shule za Serikali hazijafanikiwa kuingia 10 bora kitaifa
Wanafunzi watakiwa kujiamini na kuondoa hofu na mashaka kuelekea siku ya mtihani.
• Wadau wa elimu watoa maoni yao mbalimbali kuhusu mtihani huo wa kuhitimu shule ya msingi.
Wanafunzi wakwepa kutumia vyoo vya shule kwa kuhofia magonjwa ya mlipuko.
Shule hiyo ni tishio kwa shule kongwe za Serikali na binafsi baada ya kudumu kwenye 10 bora kitaifa kwa miaka saba mfululizo.
Ubora wa bidhaa na mfumo wa malipo katika ununuzi wa bidhaa mtandaoni ni changamoto nyingine inayohitaji ufumbuzi wa kudumu.
Mjasiriamali mwenye nia ya kupeleka ubunifu na ushonaji wa nguo nje ya mipaka ya Tanzania.
Shule sita kati ya 15 vinara ndani ya mkoa wa Dar es salaam zimeunda orodha ya dhahabu kwa kuwa hazijawai kutoka 10 bora kwa miaka yote mitatu
Ndoto yake ni kutengeneza sabuni zenye ubora zitakazopenya kwenye soko la ushindani nchi na kimataifa.
Wachambuzi wanasema watanzania hawana jinsi zaidi ya kukubaliana na mabadiliko ya teknolojia ya manunuzi
Idadi ya mashirika yanayotumia huduma za posta nchini imeongezeka mara 10 ndani ya mwaka mmoja.
Ripoti yasema Dar es Salaam ina ongezeko kubwa la majengo lisiloendana na mahitaji ya wateja.
Mkoa wa Mbeya unakabiriwa na uhaba mkubwa wa maktaba katika shule za msingi jambo linalorudisha nyuma jitihada za kuongeza maarifa kwa wanafunzi.
Tundu moja la choo linatumiwa na wastani wa watoto 209 kwa wavulana na wasichana.
. Wanafunzi na walimu watumia matundu manne kwa miaka miwili.
. Malumbano ya kisiasa yakwamisha choo kipya kukamilika kwa wakati
Darasa moja la Shule ya Msingi Inyala mkoani Mbeya linabeba wastani wa wanafunzi 193 mara nne zaidi ya kiwango kinachopendekezwa.
Takwimu zinaonyesha kuwa Halmshauri ya Wilaya ya Mbarali haina uhaba wa maabara lakini baadhi ya shule zake zafeli vibaya masomo ya Sayansi.