Tanzania yapokea ndege ya tano aina ya De Havilland
Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza viongozi na wananchi kuipokea ndege aina ya De Havilland kutoka Canada ambapo sasa Serikali itakuwa na ndege tano za masafa mafupi.
Rais Samia Suluhu Hassan amewaongoza viongozi na wananchi kuipokea ndege aina ya De Havilland kutoka Canada ambapo sasa Serikali itakuwa na ndege tano za masafa mafupi.
Kupitia jukwaa alilolibuni, mtu anaweza kutembelea vivutio vyote vilivyopo nchini na kufurahia utalii kwa njia rahisi za uhifadhi gharama.
Ni soko maarufu katika Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita ambalo ni kiungo muhimu cha biashara ya bidhaa mbalimbali za nyumbani.
Mapato yatokanayo na sekta ya utalii Tanzania yameshuka zaidi ya mara tatu ndani ya mwaka mmoja kutokana na kupungua kwa idadi ya watalii wa kimataifa kulikosababishwa na janga la Corona.
Idadi ya abiria wanaotumia usafiri wa anga yaani ndege imepungua kwa asilimia 43.5 hadi abiria milioni 2.5 katika kipindi cha Julai, 2020 hadi Aprili, 2021.
Imetangaza kusitisha ndege zote zinazotoka na kwenda India kuanzia Mei 4 mwaka huu ili kujikinga na ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo yanayozidi kuongezeka nchini humo.
Itaanza kufanya safari zake kuelekea jijini Guangzhou nchini China ifikapo Mei 8 mwaka huu baada kuahirishwa mara kadhaa kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo janga la Corona.
Serikali imewataka wananchi wanaoishi karibu na mbuga za wanyama kutumia njia mbadala kuzuia tembo kuvamia mashamba na makazi yao kwa kuepuka kulima mazao yanayovutia wanyama hao zikiwemo ndizi.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Serikali yake itaendelea kulilea Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kimkakati ii liweze kujiendesha kwa ufanisi ikiwemo kulitua mzigo wa madeni makubwa na kulipa ahueni ya baadhi ya tozo na kodi.
Umesheheni mandhari nzuri na yenye kuvutia kwa watalii wa ndani na unapatikana Wilayani Muheza Mkoa wa Tanga.
Serikali imetenga Sh121.9 bilioni katika mwaka wa fedha wa 2021/22 ambazo zitatumika kuboresha miundombinu na kutangaza vivutio vya utalii ili kuongeza mapato na idadi ya watalii wanaokuja Tanzania.
Serikali ya Tanzania imesema imeshakamilisha malipo ya ununuzi wa ndege mpya tatu, hatua ambayo itaongeza idadi ya ndege inazozimiliki kufikia 12.
Imebainika kuwa mfumo wa ukusanyaji wa mapato wa Wizara ya Maliasili na Utalii unakabiliwa na changamoto mbalimbali za tehama zinazochangia kuvujisha mapato ya Serikali.
Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Devota Mdachi kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu zinazomkabili.
Tangu kuingia kwa Hayati Rais Magufuli mwaka 2015 alifanya mambo mbalimbali kukuza utalii ikiwemo kuongeza mazao ya utalii na kuboresha miundombinu .
Katika pepo hiyo, tarajia maji safi ya kutosha kuakisi miale ya jua, hali ya hewa ya kusahaulisha changamoto za dunia na ukimywa ufaao kufikiria maisha.
Litawakutanisha wadau mbalimbali wa bara hilo jijini Dar es Salaam ili kuenzi mchango wa Tanzania katika ukombozi wa bara hilo.
Hiyo itasaidia kizazi cha sasa na kijacho kufahamu kwa undani historia ya Tanzania.
Utasaidia kuzifikia hifadhi za Taifa katika ukanda huo kwa urahisi. Pia utasaidia kuongeza watalii wa nje ambao idadi yao imepungua.
Zipo sehemu nyingi unazoweza kutembelea zikiwemo mbuga za wanyama na sehemu za kufurahisha macho na moyo.