Maajabu ya visiwa 11 ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Rubondo
Utajiri mkubwa ni uwepo wa misitu ya asili ambayo inatoa makazi kwa wanyamapori wa aina mbalimbali wakiwemo Tembo, Twiga, Mbega mweusi na mweupe.
Utajiri mkubwa ni uwepo wa misitu ya asili ambayo inatoa makazi kwa wanyamapori wa aina mbalimbali wakiwemo Tembo, Twiga, Mbega mweusi na mweupe.
Yawapa siku 50 kufanya hivyo la sivyo mkono wa sheria utachukua nafasi yake
Awali msitu wa Magoroto ulikuwa mashamba ya Watawala wa Kijerumani na baadaye ukahifadhiwa kama sehemu muhimu yenye uoto wa asili.
Asili yake imetokana na mwindaji maarufu wa kienyeji aliyeishi katika maeneo hayo ya hifadhi akijulikana kama “KATABI”
Mkataba huo utaimarisha na kuendeleza ushirikiano uliokuwepo muda mrefu.
Uwanja wa ndege wa Chato kuwa kiungo muhimu kwa watalii kufika eneo hilo.
Ni mahali pekee nje kidogo ya Jiji la Mbeya ambapo utaona wanyamapori na kutembea katika korongo.
Ni hifadhi ya 14 kuanzisha hapa nchini mwaka 2005
Kozi hiyo ya miezi mitatu inawahusu watu wote waliofaulu vizuri Cheti cha Kuhitimu Mtihani wa Elimu ya Sekondari (CSEE) na wenye urefu usiopungua sentimeta 160.
Milima tisa kati ya 10 mirefu zaidi Tanzania inapatikana katika mikoa mitatu tu ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara
Nchi 10 kati ya 18 yatakapofanyika maonyesho ni masoko makubwa ya utalii Tanzania.
Sasa gharama za huduma za viburudisho na mizigo inayozidi kilogramu 23 zitajumuishwa katika tiketi.
Ni moja ya hifadhi chache duniani zenye sifa ya pekee ya kuwa na mbuga za wanyama zinazopakana na bahari.
Rais Magufuli ameridhia mapendekezo ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuanzisha Hifadhi mpya ya Taifa ya Chato baada ya mapori matano ya akiba kupandishwa hadhi.
Maji yasomba Daraja la Merera lililopo kilomita moja kutoka kwenye lango la kuingilia katika hifadhi hiyo.
Maajabu katika hii dunia hayajawi kuisha septemba 3 kobe aitweye star Janus amesherekea miaka 20…
Wakati wanaigundua tayari wataalamu wa mambo ya kale wa Ujerumani na Misri walikuwa wameshakata tamaa kuwa wasingepata kitu
Mkate uoko kwenye jiko la oveni au kwa njia ya kawaida kwa kutumia mkaa,nchini Iceland…
Mwanajeshi yoyote akisikia askari ameenda vitani na amekataa kuua hapana shaka atashangaa sana. Lakini Desmond…
Tanzania ndiyo nchi ya kwanza barani Afrika yenye vivutio vingi zaidi vya kitalii