Usikose kutembelea sehemu hizi ukiwa Zanzibar
Kuanzia hoteli za kipekee, fukwe za kufurahisha na vijiji vya kustaajabisha ni kati ya chaguzi unazotakiwa kufanya unapokuwa Zanzibar.
Kuanzia hoteli za kipekee, fukwe za kufurahisha na vijiji vya kustaajabisha ni kati ya chaguzi unazotakiwa kufanya unapokuwa Zanzibar.
Mwanaume ambaye ni mnene zaidi, huvikwa taji la ushindi na hutambulika kama shujaa kwa maisha yake yote.
Ni katika mnara wa mawe wa Georgia Guidestones ambao umeandikwa kwa lugha nane maarufu duniani ikiwemo lugha ya Kiswahili.
Chagua siti na shirika la ndege lenye huduma za uhakika.
Pia inakusudia kuongeza ndege nyingine ili kusaidia zoezi la kuzima moto huo.
Ugumu huo unasababishwa na upepo mkali na kukauka kwa nyasi na vichaka.
Nguvukazi ya watu 500 yahusishwa na helikopta inayoruka juu ya mlima inayoangalia ukubwa wa eneo lililoathirika na maeneo ambayo bado yanaweza kuzuka kwa moto upya.
Yasema jitihada za kudhibiti moto huo zinaendelea huku
taarifa zaidi kuhusu chanzo zinaendelea kufanyiwa kazi.
Ni pamoja na matumizi ya teknolojia ya kamera za kudhibiti mwendokasi wa magari kuwaepusha wanyamapori na ajali za barabarani.
Ni baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kutabiri vipindi virefu vya ukavu wakati wa mvua za vuli
Baadhi vyaahidi kushughulikia athari za COVID-19 katika sekta ya utalii baada ya kuingia madarakani mwezi Oktoba 2020.
Wageni wanaotoka nje ya Afrika Mashariki kulipa zaidi ya wazawa.
Doria, elimu na usaliti miongoni mwa wafanyabiashara uliwezesha biashara hiyo kukomeshwa kabisa katika eneo hilo lilizungukwa na Hifadhi ya Taifa ya Nyerere.
Amesema ameshuhudia watalii wakiendelea kuingia nchini kwa wingi jambo linalodhihirisha kuwa kwa sasa Tanzania iko salama.
Wakati maelfu ya wanyama hao wakizidi kuuliwa kila mwaka, uwezekano wa wanyama hao kuendelea kuwepo mbugani ni mdogo endapo hatua za kuwalinda hazitochukuliwa.
Idadi ya vifo iliongezeka kwa takribani mara mbili mwezi Juni huku asilimia 70 ya vifo vya wanyama vikidaiwa kutokea karibu na vyanzo vya maji.
Rais Magufuli amesema reli ya kisasa inayojengwa kati ya jiji la Dar es Salaam na Jiji la Dodoma itavutia watu wengi kutembelea kwa matukio mbalimbali ikiwemo kupiga picha.
Kufanya utalii huo ambao unapatikana nchini katika baadhi ya hifadhi, haihitaji uzoefu mkubwa kwani hautokua peke yako na utapata nafasi ya kujifunza.
Ni baada ya kuhusishwa na ubaguzi wa rangi kwa watu weusi pamoja na biashara ya utumwa.
Safari za treni ya mizigo na abiria kati ya jiji la Dar es Salaam na mkoa wa Kilimanjaro zitarejea baada ya kusitishwa kwa usafiri huo kwa muda kutokana na mafuriko.