Ifahamu ‘paradiso’ ya baharini iliyopo Kaskazini mwa Tanzania
Hifadhi hiyo iliyoanzishwa mwaka 2009, jina lake limetokana na uwingi wa samaki aina ya Silikanti (Coelacanth) ambaye alidaiwa kutoweka duniani zaidi ya miaka milioni 65 iliyopita.
Hifadhi hiyo iliyoanzishwa mwaka 2009, jina lake limetokana na uwingi wa samaki aina ya Silikanti (Coelacanth) ambaye alidaiwa kutoweka duniani zaidi ya miaka milioni 65 iliyopita.
Kumbukizi hiyo ni kupitia maadhimisho ya miaka 113 ya mashujaa wa vita vya Maji Maji yatakayofanyika kati ya Februari 22 hadi 27, 2020.
Kwa mujibu wa Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu Tanzania, kisiwa hicho kina ukubwa wa kilometa za mraba 822 ndani ya bahari ya Hindi inayochukua asilimia 20 ya uso wa dunia.
Kama hoteli uliyofikia imekuwekea sabuni, dawa ya meno na hata mswaki, hivyo ni vyako. Beba!
Leo tunaanza safari hii na hifadhi ya bahari ya Ghuba. Je, umewahi kuisikia? Kama bado, haya ndiyo unatakiwa kuyafahamu.
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), imemteua shabiki wa timu ya Taifa Stars, Nick Reynald a.k.a Bongozozo kuwa balozi wa hiari wa utalii nchini Uingereza ili kuongeza idadi ya watalii wanaotoka katika nchi hiyo ya Ulaya.
Naibu Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa aliyekuwa akizungumza leo (Februari 4, 2020) bungeni jijini Dodoma, amesema kabla ya kuanza upanuzi wa uwanja huo, watawalipa wananchi fidia ili waondoke katika maeneo yanayozunguka uwanja huo.
Muhimu ni kujua kuwa, nyota katika biashara ya hoteli duniani zina maana yake na zaidi, nyota hizo huonyesha huduma ambazo zinatolewa katika hoteli husika.
Hifadhi ya Taifa ya Rumanyika ambayo ina ukubwa wa kilometa za mraba 800 ni hifadhi inayoipamba ardhi ya mkoa wa Kagera huku uzuri wake ukizidi kuwa wakipekee kwenye ardhi hiyo inayopakana na Ziwa Victoria.
Hifadhi hiyo ambayo historia yake inaanzia mwaka 1965 ni hifadhi ya Taifa ambayo imepata cheo hicho mwaka 2019 na kuifanya kuwa ardhi yenye ukubwa wa kilometa za mraba 3,865 na yenye vivutio vya kipekee kati ya hifadhi za Tanzania.
Wakati idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania ikiongezeka, idadi ya watalii ilimwenguni imepungua kutoka asilimia 6 mwaka 2018 hadi asilimia 4 mwaka jana, ikichagizwa na kudidimia kwa uchumi wa dunia.
Kitabu cha Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2018 ki
Ni hifadhi ya Taifa ya Ibanda yenye ukubwa wa kilometa za mraba 200 iliyosheheni mazingira tulivu yenye wanyama na ndege wenye sauti za kufurahisha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewaagiza wadau wa masuala ya utalii nchini wafanye mapitio ya gharama za huduma wanazowatoza watalii na amesisitiza kuwa si sahihi kuwatoza wazawa kwa kutumia fedha za kigeni au gharama sawa na wageni.
Ni hifadhi inayotunza wanyama na mimea mingi kwenye ardhi yenye ukubwa wa Kilometa za mraba 1,613.
Rais John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori katika bustani za wanyama (Zoo) ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira.
Baadhi ya matukio hayo ni kuanzishwa kwa hifadhi mpya mbili za Taifa na zinazotozwa katika hifadhi za Taifa na sanamu ya hayati Mwalimu Julius Nyerere iliyozua mjadala mtandaoni.
Alama za madoa hayo hutumika kushIkilia kioo kisipate hitilafu ya kuanguka au kuvunjika.
Orodha hiyo ni sehemu ya watu, mada, matukio, maeneo, na habari za kimataifa ambazo zilitafutwa zaidi katika mtandao wa Google kwa mwaka 2019.
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema ndege ya Tanzania aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imekamatwa nchini Canada imeachiwa na wananchi watatangaziwa siku ya kuwasili ili waipokee jijini Mwanza.
Kwa taarifa yako kati ya hifadhi hizo tano, nne zinatoka Tanzania zikiongozwa na hifadhi mpya ya Nyerere.