Masharika yaliyositisha kutumia ndege za Boeing 737 Max 8 kulipwa matrilioni
Ni baada ya kutokea kwa ajali za ndege mbili zilizohusisha ndege hizo za masharika ya Ethiopia na Indonesia.
Ni baada ya kutokea kwa ajali za ndege mbili zilizohusisha ndege hizo za masharika ya Ethiopia na Indonesia.
Vituo hivyo maalum vitawaondolewa usumbufu wa kukaguliwa mara kwa mara wakiwa barabarani.
Pia vitawaongezea usalama wakiwa katika shughuli za utalii.
Hiyo inatokana na malalamiko kuwa tozo hizo zimekuwa zikidumaza utalii katika maeneo yanayozunguka hifadhi za Taifa.
Kwa mujibu wa shirika hilo, safari kwanza itakuwa leo (Julai 17, 2019) na ya pili itakua Juali 19 kwenda moja kwa moja Mumbai.
Yanapatika takriban kilomita 40 Kusini mwa jiji la Cairo ambapo moja ni ile iliyoinama ya Pharao Snerefu na ya pili ipo Dahshur Necropolis mjini Giza.
Kwa sababu ikolojia ya maeneo hayo inaruhusu kustawi kwa wanyamapori hao kwa kuwa yana makazi mazuri na chakula cha kutosha.
Ni maombi ya viza ambayo sasa yatakuwa yanashughulikiwa katika ubalozi wa nchi hiyo Nairobi nchini Kenya badala ya Tanzania.
Ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kushughulikia changamoto ya gharama na usafi katika hoteli wanazofikia watalii.
Serikali imesema hivi karibuni itaanza kujenga uwanja huo katika Wilaya ya Chato ili kuvutia wawekezaji na watalii.
Hupatikana katika makazi ya viongozi mbalimbali duniani na kutumika kama mapambo na kivutio cha wageni.
Shirika la Ndege la Tanzania leo imeanza rasmi safari zake kutoka Tanzania hadi katika jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini kwa kutumia ndege aina ya Airbus 220-300.
Mapato hayo yameongezeka kwa asilimia 15.1 hadi kufikia Sh34.3 milioni mwaka jana kutoka Sh29.7 milioni mwaka 2017.
Imesema imeunda mpango mkakati kuhakikisha kila dereva anakuwa na mkataba wa kazi ambao utatoa viwango vipya vya posho wanazopaswa kulipwa wanapokuwa safarini.
Idadi hiyo imepungua kwa viwango tofauti kwa miaka miwili mfululizo ya 2017 na 2018 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ziara za mafunzo ya wanafunzi.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Constantine Kanyasu amesema idadi yao imeongezeka sana katika maeneo mbalimbali na kutishia uhai wa wananchi.
Ongezeko hilo limechangiwa na maboresho ndani ya shirika hilo la ndege la umma ikiwemo ununuzi wa ndege mpya sita.
Ni wananchi wa kata ya Alaitole wilayani Ngorongoro ambao walizuiwa kwa muda mrefu kutekeleza ujenzi huo kutokana na mgogoro uliokuwepo na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
Yaagizwa kutumia njia za kisasa za mawasiliano na mbinu rahisi kutangaza vivutio vya utalii ikiwemo kuwaleta nchini watu mashuhuri duniani.
Ujio wa wawili hao umegundulika baada ya Sabrina kuweka picha katika ukurasa wa Instagram ikimuonyesha akiwa na wafanyakazi wa mfuko wa uhifadhi wanyama pori wa Grumeti katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Amesema hali hiyo inatokana na sababu mbalimbali za kiufundi katika menejimeti ya Shirika la Ndege la Tanzania lakini marekebisho yanafanyika ili kuwaondolea usumbufu watumiaji wa ndege za shirika hilo.