Watu wanaoishi karibu na mbuga za wanyama wana afya bora: Ripoti
Utafiti uliofanywa na Chuo Cha Taifa cha Oregon nchini Marekani unaeleza kuwa maeneo hayo yaliyohifadhiwa yana utajiri wa asili kwa ajili ya afya ya binadamu.
Utafiti uliofanywa na Chuo Cha Taifa cha Oregon nchini Marekani unaeleza kuwa maeneo hayo yaliyohifadhiwa yana utajiri wa asili kwa ajili ya afya ya binadamu.
Sheria hiyo inapendekeza kuwa watu wasiruhusiwe kuandika meseji, kuangalia barua pepe na kuperuzi mtandaoni, isipokuwa kwa dharura wanapokatiza mitaa ya jiji hilo.
Waziri wa Maliasili na Utalii amesema matokeo ya awali ya utafiti wa vivutio hivyo yanaonyesha Tanzania imeshuka kutoka nafasi ya pili iliyokuwa inashikilia mwaka 2014 hadi nafasi ya nane.
Umefungwa jana baada mwanaume mmoja kukutwa akipanda juu ya mnara huo bila ruhusa.
Hifadhi hiyo iko umbali wa kilomita 62 kutoka katika mji wa kitalii wa Arusha na inasifika kwa vivutio mbalimbali ikiwemo Mlima Meru, Ziwa Momella na bonde la Ngurdoto.
Wadau wa uhifadhi wanyama pori wanafanya mapitio ili kutathmini kama mnyama huyo aingizwe katika orodha ya wanyama walio katika hatari ya kutoweka duniani.
Lengo ni kuongeza idadi ya marubani wazawa ambao watapikwa katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).
Watalii hao walipokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Spika Job Ndugai ameitaka itoe ufanunuzi wa kina kwa nini imesitisha ujenzi wa bandari hiyo muhimu Afrika Mashariki.
Yajipanga kudhibiti watalii wanaoingia nchini humo ili kukabiliana na msongamano mkubwa wa watu kwenye vituo vya utalii vilivyopo katika miji mikubwa hasa Amsterdam.
Serikali imesema tayari imempata mshauri mwelekezi wa kifedha na mkataba wa uwekezaji wa ujenzi wa reli hiyo itakayofungua fursa nyingi za kiuchumi mikoa ya kusini.
Amesema wataendelea kutoa kifuta machozi kwa sababu gharama zitakuwa kubwa na watashindwa kuwatunza wanyama hao.
Ndege hiyo aina ya Sukhoi Superjet-100 inayomilikiwa na shirika la ndege la Aeroflot la Urusi imewaka moto baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa ndege wa Sheremetyevo katika jiji la Moscow.
Tarangire ni maarufu kwa kuwa na makundi makubwa ya tembo wanaoweza kuonekana katika eneo dogo na mandhari nzuri ya kuvutia yanayotokana na maumbile ya miti ya mibuyu.
Katika orodha hiyo, uwanja wa ndege wa kimataifa wa Changi wa nchini Singapore ndiyo unashikilia nafasi ya kwanza duniani kwa ubora kwa mwaka 2019.
Mnara wa Effeil uliopo katika jiji la Paris, Ufaransa na sanamu ya Uhuru iliyopo Marekani ni miongoni mwa maeneo yanayotembelewa zaidi na watalii duniani.
Wanatumika kutuliza ghasia na kutawanya makundi ya watu ambao hawawezi kudhibitiwa na askari polisi wanaotumia magari na ni alama ya utamaduni na kivutio cha kwa wageni wanaotembelea miji mikubwa duniani.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Bodi ya Kampuni ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (Kadco) kuweka mabango ya kielektroniki yanayoonyesha vivutio vya utalii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).
Inapatikana katika eneo la Kogatende lilipo kaskazini mwa hifadhi ya Taifa ya Serengeti na itakuwa na mahema na huduma muhimu kwa ajili ya watalii na wanandoa wanaopendelea kupiga kambi katika hifadhi za Taifa.
Rais John Magufuli ameongeza muda wa miaka mitatu kwa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) iliyokuwa imalize muda leo (Aprili, 2019).