Yaliyofichika ndani ya hifadhi ya Taifa ya Udzungwa
Licha ya kuwa haifahamiki sana na watu wengi, ni hifadhi yenye hazina ya aina nyingi za mimea, ndege na wanyama ambao hawapatikani katika sehemu nyingine duniani.
Licha ya kuwa haifahamiki sana na watu wengi, ni hifadhi yenye hazina ya aina nyingi za mimea, ndege na wanyama ambao hawapatikani katika sehemu nyingine duniani.
Jengo hilo la historia lina miaka 850 lililoungua jana sehemu ya paa na mnara wakati linafanyiwa ukarabati limekuwa alama ya Ufaransa na kivutio kikubwa cha watalii wanaotembelea nchi hiyo.
Uamuzi huo umefikiwa na Shirika la ndege la Emirates ikiwa ni maandalizi ya kutangaza maonyesho hayo ya kimataifa ya uvumbuzi na ubunifu yatakayofanyika Dubai mwaka 2020.
Imesheheni vivutio mbalimbali vya ndege, wanyama pori wakiwemo faru weusi ambao wako hatarini kutoweka duniani.
Ripoti yake yabaini ongezeko la vifo vya wanyama pori, mamlaka zashindwa kukusanya ada ya adhabu za ajali za barabarani na kutofautiana kwa takwimu za watalii wanaotembelea Tanzania.
Idadi hiyo imeongeza hadi kufikia watalii 1.49 milioni mwaka 2018 kutoka 1.09 mwaka 2013.
Serikali imesema imejipanga kulifanya Jiji la Dar es Salaam kuwa kitovuti cha utalii kwa kulitumia jengo la tatu la abiria katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) kuingiza watalii wengi.
Wanaidai kampuni ya uwakili ya Locus Attorney iliyochapisha tangazo la kuuza hoteli hizo kwa madai zimeshindwa kurejesha mkopo katika Benki ya Exim.
Amesema mkoa wa Mtwara uko mpakani, una fursa nyingi za uwekezaji ambapo uboreshaji wa miundombinu ya usafiri ni muhimu
Hatua hiyo ni kuongeza ushindani na kuimarisha sekta ya usafiri wa ndege nchini.
Amesema ipo haja ya kuufanyia tathmini mfumo wa elimu kufuatia nafasi za juu katika hoteli nyingi za kitalii nchini kushikwa na raia wa kigeni wakati wazawa wana uwezo kuendesha hoteli hizo.
Wanatumia wastani wa siku 12 ambapo ni juu kidogo ya muda wanaokaa wageni wote wa wastani wa siku 10.
Ni Mhandisi Julius Ndyamukama aliyekuwa Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Dar es Salaam na msimamizi mkuu wa ujenzi wa jengo jipya namba 3 (Terminal 3) la uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere (JNIA).
Kabla ya sanamu hiyo kulikuwa na sanamu nyingine ya kigogo wa Kijerumani Meja Hermann von Wissmann iliyong’olewa baada ya Vita ya Kwanza ya Dunia.
Amechukua uamuzi huo baada ya kuongezeka shinikizo la kimataifa kumtaka afuate nyayo za nchi nyingine duniani zilizozuia matumizi ya ndege hizo baada ya ajali iliyotokea Ethiopia.
Hatua hiyo imekuja baada ya tangu ndege yake aina ya Boeing 737 Max 8 kupata ajali jana (Machi 10, 2019) na kusababisha vifo vya watu 157.
Mabadiliko hayo yamefanyika leo ikiwa ni hatua ya kuongeza wigo wa utoaji huduma ikiwemo matumizi ya pikipiki ndogo zinazoendeshwa kwa umeme.
Wadau wa usafiri wamekuwa na hisia tofauti huku wengine wakisema itasaidia kuifanya biashara hiyo kuwa rasmi na wengine wakieleza kuwa itaibua changamoto ya muda na kupanda kwa bei ya kusafirisha vifurushi hivyo.
Ni asilimia 19.3 ya wageni walifanya malipo kwa njia ya kadi mwaka 2017 ukilinganisha na asilimia 73 waliofanya kwa pesa taslimu.
Kandokando mwa barabara hiyo kunapatikana majengo manne yaliyoishi zaidi ya miaka 100 ambayo yamekuwa kivutio kwa watalii wengi wanaotembelea jiji hilo.