Facebook yaanza mchakato wa kufuta makundi ya watumiaji wake
Kuanzia Septemba 26, watumiaji wake hawataweza kuweka picha kwenye kipengele cha stori (story section) katika makundi ya mtandao huo.
Kuanzia Septemba 26, watumiaji wake hawataweza kuweka picha kwenye kipengele cha stori (story section) katika makundi ya mtandao huo.
Moja ya sifa kubwa anayotakiwa mtu kupata alama hiyo ni pamoja na kuwa na watazamaji kuanzia 100,000 na kuendelea
Serikali imeiagiza Mamlaka ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ihakikishe wananchi hasa walioko vijijini wanapata angalau namba za utambulisho wa usajili wao kabla ya muda wa usajili wa laini za simu haujamalizika.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema zinapaswa kuwekeza katika uunganishaji na uwianishaji wa viwango mbalimbali vya Tehama ili kuleta maendeleo endelevu ya viwanda, kuongeza biashara na kutengeneza ajira.
Inawezesha utekelezaji wa mipango ya kuendesha mikutano, matamasha na maonyesho katika mashirika na makampuni mbalimbali nchini kwa njia ya mtandao.
Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imezitaka nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania kuongeza kasi ya uvumbuzi kwenye kilimo na matumizi ya teknolojia ili kumaliza umaskini.
Njia hiyo itasaidia kukusanya takwimu za kijamii badala ya kutegemea data na mipango kutoka jumuiya za kimataifa.
Sasa, kila mchapishaji atatakiwa kuonyesha lengo la kuchapisha maudhui yake. Hatua hiyo ni kuwalinda watoto na maudhui yasiyofaa hasa matangazo yasiyoendana na umri wao.
Kampuni ya teknolojia ya Google imesema ifikapo Desemba 3, 2019 itaifunga rasmi programu tumishi ya Google Fusion Tables iliyokuwa inatumiwa kuchambua data na kusanifu michoro mbalimbali.
Iko mbioni kuongeza kipengele kipya kitakachomuwezesha mtumiaji kufahamu idadi ya maneno anayoandika kama ilivyo kwa wanaotumia pragramu ya Microsoft word.
Serikali imeshauriwa kuwaongezea uwezo wa kiteknolojia walimu wa shule za msingi na sekondari ili kuhakikisha wanafunzi wanapata maarifa na ujuzi utakaowawezesha kuwa wabunifu na kutatua changamoto zinazowazunguka.
Ushindi wa App hiyo ya Tanzania umetokana na uwekezaji iliyofanya katika matumizi ya teknolojia kutoa msaada wa kisheria mtandaoni.
Imeongeza kipengele kipya kwa ajili ya mitindo baada ya kubaini kuwa ina wafuasi wengi.
Programu hiyo na zingine ikiwemo Chrome zimefanya maboresho mbalimbali kukulinda dhidi ya wadukuzi na matumizi mabaya ya taarifa zako mtandaoni lakini bado hazifanya kama inavyotakiwa.
Inadaiwa kuwa Youtube ilifanya kosa la kuingilia jumbe zinazohusu watoto ambao ni moja ya wateja na wenye haki ya kuwa na faragha katika maudhui wanayoangalia.
Yazindua mfumo wa kielektroniki wa kusajili bidhaa, majengo na maeneo ya uzalishaji.
Limesema kuanzia kesho Wabunge watapatiwa taarifa za orodha ya shughuli za Bunge kwa kutumia simu, mitandao ya kijamii na barua pepe.
Youtube imeahidi kuondoa maudhui yoyote yatakayokuwa na chembe za kukiuka vigezo na masharti yao.
App hiyo itaitwa “Threads” ikifanya kazi kama ilivyo Messenger kwa Facebook kwa sasa.
Hivi karibuni, mtandao huo umezindua mfumo mpya (tool) ya mawasiliano utakaotumiwa na mamlaka za Serikali za mitaa duniani kuwasiliana na kutoa taarifa za maendeleo kwa wananchi wa maeneo yao kwa urahisi na haraka.