App ya Sheria Kiganjani kuiwakilisha Tanzania shindano la Seedstars duniani
Itashiriki mkutano wa Seedstars nchini Uswisi mwaka ujao na kushindania mtaji wa uwekezaji wa hadi takriban Sh2.3 bilioni na tuzo zingine.
Itashiriki mkutano wa Seedstars nchini Uswisi mwaka ujao na kushindania mtaji wa uwekezaji wa hadi takriban Sh2.3 bilioni na tuzo zingine.
Nne zinatoka Visiwani Zanzibar, nane za Tanzania bara. Mshindi atapata fursa ya kushindania mtaji wa Dola za Marekani milioni 1 (Sh2.3 bilioni) na tuzo zingine za uwekezaji.
Mtandao huo nakusudia kuondoa matangazo ya biashara yanayomlenga mtumiaji wa simu ya mkononi ambaye anaangalia video zote ambazo zina maudhui ya watoto.
Programu hizo za simu ni zile zinazotumika Tanzania na lugha ya Kiswahili.
Yatasaidia kupunguza mrundikano wa jumbe zisizokua na matumizi katika mtandao huo.
Samsung imeingiza simu aina ya “Note 10” na “Note 10 plus”. Uwezo wa betri, ukubwa wa kioo na gharama ni baadhi ya sifa zinazoibua maswali ya ubora kwenye simu hizo.
Zimechaguliwa kuingia katika shindano la dunia la Seedstars World likaloziwezesha mshindi kupata mtaji wa Dola za Marekani milioni 1 (Sh2.3 bilioni).
nawawezesha kununua programu za simu bila kuwa na neno la siri la akaunti ya Google.
Inakusudia kuwawekea kipengele cha kupata taarifa za filamu wanazozipenda kwa urahisi na haraka.
Ni njia mojawapo ya kumlinda mtoto wa uhalifu wa mtandaoni unaoweza kumpotezea mwelekeo wa maisha.
Zaidi ya Youtube, msanii anaweza kuuza kazi zake kupitia programu tumishi za Napster, Apple Music, Spotify na Tidal.
Ni mfumo mpya endeshi unaotarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni na kampuni ya simu Huawei.
Imewawekea kipengele cha “Instagram Business” kinachowasaidia kuwafikia wateja wengi mtandaoni kwa muda mfupi.
Ni hatua ya kupunguza gharama za kuzungusha pesa za kawaida na kuwawezesha watunga sera kudhibiti usambazaji wa pesa wa nchi hiyo.
Linatoa fursa kwa watu kusaidiana na kuinuana ili kuondokana na changamoto za maisha kwa kutumia kiasi kidogo cha pesa.
Gari hilo litakuwa linatumia dakika nane tu kusafiri kati ya mji wa Blagoveshchensk (Urusi) na Heihe (China).
Inawawezesha watu kupata usafiri wa mkoani muda wowote kwa kutumia magari binafsi kwa gharama nafuu.
Aanzisha jukwaa linalowakutanisha vijana ili kusaidiana kupata fursa mbalimbali kupitia mtandao.
Kipengele hicho kiko kwenye majaribio na kikamilika kitawapa uhuru zaidi watumiaji wa mtandao huo kupanga picha watakavyo.
UNICEF na kampuni ya Colombia Conceptos Plasticos wamezindua kiwanda ambacho kitabadilisha taka za plastiki kuwa matofali ya kawaida ya plastiki kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa.