MOI kuanza upasuaji wa ubongo kwa teknolojia ya kisasa
Inahusisha kuondoa uvimbe kwenye ubongo kupitia kwenye tundu la pua na mishipa ya damu bila kufungua fuvu kwa kutumia teknolojia ya ‘Angio Suite’.
Inahusisha kuondoa uvimbe kwenye ubongo kupitia kwenye tundu la pua na mishipa ya damu bila kufungua fuvu kwa kutumia teknolojia ya ‘Angio Suite’.
Jukwaa hilo la mtandaoni linatoa elimu ya maisha kwa vijana kupitia simu za mkononi. Pia linawaleta pamoja vijana kubadilisha mawazo, uzoefu kuhusu mustakabali wa maisha yao.
Sasa wafanyabiashara wadogo wataweza kuorodhesha huduma wanazotoa kwenye wasifu wao wa LinkedIn.
Ni baada ya kufanya uwekezaji wa teknolojia ya matumizi ya simu kutoa huduma za msaada wa kisheria.
Mtoa maudhi sasa ataweza kukata rufaa kama maudhi yake yakifutwa.
Unasaidia kuwaepusha watu na wizi mtandaoni unaofanywa na matapeli.
Lengo la majaribio hayo ni kuwawezesha wafuasi wa akaunti za Instagram kuweka mawazo yao kwenye picha na video na siyo idadi ya likes au views alizopata mtu.
Inawawezesha wateja wa Vodacom Tanzania kulipia malipo ya hati za kusafiri kwa kutumia simu za mkononi zilizounganishwa na huduma ya M-Pesa.
Programu hiyo inalenga kuzijengea uwezo na kuziimarisha kampuni zinazochipukia (startups) kujiendesha kibiashara.
Viongozi watakaochaguliwa watapimwa wa ushiriki wao kwenye mijadala ya kundi husika.
Muonekano huo utarahisisha matumizi ya mtandao huo hasa katika kipengele cha ujumbe, orodha ya vitu na vitambulisho (Bookmarks).
Inakutunzia neno la siri na kukumbusha kama umesahau wakati ukitumia simu yako.
Unajulikana kama Shoelace na umeanza kwa majaribio katika mji wa New York, Marekani.
Mwongozo huo utaweka utaratibu wa uendeshaji na uendelezaji wa kazi za wabunifu Tanzania ili zilete matokeo chanya kwenye jamii.
Inamwezesha mtumiaji wa M-Pesa kutumia pesa zaidi ya kiwango ulichonacho katika akaunti yake.
Imeanzisha kipengele kinachomuwezesha mtoa maoni kwenye mtandao huo kufikiria mara mbili kabla ya kutuma maoni yake kwa watu wengine.
Miongoni mwa matangazo hayo ni yale ya kupunguza uzito kwa kutumia vidonge.
Mtandao huo wa kijamii wa Facebook umeanzisha kipengele cha kuwatumia ujumbe marafiki wa karibu (Top pages) ili kumwezesha mtumiaji wake kuwasiliana kwa ukaribu na marafiki zake.
Imetoa kalenda inayoainisha matukio makubwa yatakayofanyika duniani Julai mwaka huu inayoweza kuwafungulia fursa wafuasi wa mtandao huo.
Waliokuwa wanamiliki redio mwaka 2011/2012 walikuwa asilimia 55 kabla ya kushuka hadi kufikia asilimia 43 mwaka 2017/2018.