Rwanda yazifuata Kenya, Tanzania kutoa pasipoti za kielektroniki
Inakua nchi ya nne katika jumuiya ya Afrika Mashariki kutoa pasipoti hizo kwa raia wake.
Inakua nchi ya nne katika jumuiya ya Afrika Mashariki kutoa pasipoti hizo kwa raia wake.
Bodi hiyo itakuwa na wataalam mbalimbali kwa ajili ya kufuatilia maamuzi ya uhariri wa maudhui ya mtandao huo.
Anatarajia kufungua kampuni ya usanifu ya LoveFrom itakayokuwa inasimamia miradi mbalimbali ya ubunifu.
Wanatumia programu za mafunzo ya vitendo chini ya wakufunzi waliobobea kwenye ujasiriamali wa teknolojia.
Linawawezesha wakulima kuwasiliana na kusaidiana kutatua changamoto za kilimo kwa kutumia ujumbe mfupi wa maneno.
Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye ambapo amesema muingiliano wa mawasiliano na nchi jirani bado ni changamoto kubwa inayohitaji ufumbuzi.
Katika maboresho hayo, kutakuwa na huduma ya kukubali au kukataa wito kwenye tukio, kujaza maswali, kujibu maoni, na orodha za kuvinjari (browsing catalogs).
Imeongeza kipengele cha kupima kasi ya mwendo anayotumia mtu wakati akiendesha gari (Speedometer).
Ofisi hiyo imekabidhiwa mfumo huo ambao utasaidia katika usajili, upangaji na ufuatiliaji wa mashauri kwa urahisi.
Kwa sasa iTunes itagawanywa katika programu tumishi (Apps) tatu za video, muziki na muziki wa mtandaoni.
Wanaangalia namna ya kuyafikisha matokeo ya utafiti wa kisayansi kwa wananchi kwa njia iliyo rahisi na inayoeleweka.
Utasaidia kupunguza vitendo vya rushwa na gharama zilizokuwa zikitumika kutangaza nafasi za ajira kupitia njia mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari.
Mtandao huo umetangaza kuwa utaanza kuweka matangazo ya kibiashara katika kurasa zake ifikapo 2020.
Watumiaji wamepewa udhibiti wa kukubali au kukataa mialiko inayowataka kujiunga katika makundi yanayoanzishwa katika mtandao huo.
Umoja wa wazalishaji wa mifuko mbadala umesema umejipanga kukidhi mahitaji ya soko la ndani na nje baada ya kuanza kwa utekelezaji wa marufuku ya mifuko ya plastiki kwa sababu malighafi zipo nchini.
Hatua hiyo inakuja baada ya Rais Magufuli kuagiza Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ya minara kwa kampuni hiyo ya simu inayomilikiwa na Serikali.
Mashine hiyo itaongeza ufanisi na kupunguza msongamano wa wagonjwa wanaofuata huduma hiyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH).
Ni hatua ya kuboresha ufanisi wa mawasiliano kati ya binadamu na mashine.
Mfumo huo utasaidia kutambua pembejeo feki za kilimo ikiwemo mbolea na mbegu huku ukiongeza uzalishaji wa mazao na usalama wa chakula.
Ni programu ya kompyuta iliyotengezwa kwa ajili ya kuwezesha mawasiliano kati ya binadamu na mashine.