WhatsApp kuachana na baadhi ya simu za Iphone, android
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umetoa angalizo kwa watumiaji wake kuwa ifikapo mwanzoni mwa mwaka 2020 haitakuwa inapatikana katika baadhi ya matoleo ya simu za mkononi.
Mtandao wa kijamii wa WhatsApp umetoa angalizo kwa watumiaji wake kuwa ifikapo mwanzoni mwa mwaka 2020 haitakuwa inapatikana katika baadhi ya matoleo ya simu za mkononi.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook imetaka watumiaji wote zaidi ya bilioni 1.5 kuboresha programu katika toleo la sasa kuepuka uvamizi wa kimtandao wa hivi karibuni.
Akaunti hiyo inatumika kuwaleta pamoja wanunuzi na wauzaji wa bidhaa mbalimbali.
Ni wakazi wa eneo la Kougougou katika mji wa Ouagadougou nchini Burkina Faso wamebuni mbinu mpya ya kuzibadili taka za plastiki kuwa mavazi, mikoba na pochi.
Inakadiria kuwa katika kipindi cha miaka 10 ijayo kutakuwa na ajira zaidi ya milioni 2 za teknolojia ambazo hazitajazwa kwa sababu ya ukosefu wa wataalam wa digitali, jambo linalofungua fursa kwa wasichana wanaosoma masomo ya sayansi.
Mtandao huo umetenga kiasi hicho cha fedha ili kujiandaa kulipa faini ya kujihusisha katika vitendo vya matumizi mabaya ya data za watumiaji wake.
Ni zile zinazotumia namba, majina maarufu duniani na mwaka wa kuzaliwa bila kuchanganya na herufi au alama.
Zipo wizara, idara na balozi ambapo hazina utaratibu au sera zinazotoa uhakika kuwa teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) inayotumiwa na taasisi inafanya kazi kama inavyotarajiwa.
Amesema mfumo huo haulengi kuwazuia wananchi kutumia laini zaidi ya moja lakini unakusudia kudhibiti utitiri wa laini na uhalifu.
Kampuni ya teknolojia ta Microsoft imekataa kuuza teknolojia ya utambuzi wa uso kwa kampuni ya kisheria pamoja na nchi ambazo zote hazikutambulika kwa majina
Serikali duniani zimetakiwa kuwekeza zaidi kwenye mifumo ya kuchakata na kutumia upya taka za kielektroniki ili kuwafungulia fursa za ajira vijana wenye ndoto ya kujiajiri.
Imesema inatathmini kama kukamatwa kwa Muasisi wa mtandao huo Julian Assange na polisi wa London katika ubalizi wa Ecuador nchini Uingereza kulikiuka haki yake ya faragha.
Ripoti yake ya ukaguzi ya 2017/2018 inaeleza kuwa Tume hiyo ya Sayansi na Teknolojia haikuzingatia sheria na kanuni za manunuzi, kutotumia vizuri fedha za wafadhili katika baadhi ya miradi ya ubunifu na teknolojia.
Sasa kuwawezesha watumiaji wake kufahamu kwanini matangaza ya biashara au habari zinawafikia katika kurasa zao.
Teknolojia inakupa zana (Tools) rahisi za mtandaoni zinaweza kukupa taarifa muhimu za matumizi.
Barua pepe ya Gmail ilianzishwa rami mwaka 2004 ambapo imekuwa nyenzo muhimu ya kuipaisha kampuni ya teknolojia na mawasiliano ya Google duniani.
Uamuzi huo umetangazwa jana katika mkutano wa kampuni wa Seedstars uliofanyika Uholanzi ambapo unalenga zaidi kuwanufaisha wabunifu na wajasiriamali wa teknolojia.
Hatua hiyo inatokana na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kusaini mkataba wa ununuzi wa rada mbili za hali ya hewa na kuifanya Tanzania kuwa na mtandao wa rada tano.
Wadau wamesema ubunifu ni zaidi ya kazi za teknolojia lakini ni namna ya kufikiria ili kupelekea matokeo mazuri kwenye jamii kwa gharama nafuu.
Hilo limekuja baada ya Serikali kufanikiwa kuzindua jengo na mashine mpya za tiba ya mionzi ya ‘LINAC ambazo ni za kisasa.