Wadau wataka ubunifu wa hali ya juu sekta ya elimu
Wadau wa teknolojia wameshauri ubunifu katika sekta ya elimu
Wadau wa teknolojia wameshauri ubunifu katika sekta ya elimu
Imetangaza kuzifanyia marekebisho ndege hizo ikiwemo kufunga mfumo wa onyo wa kuashiria ajali utaowasaidia marubani kupata taarifa mapema.
Mtandao huo umekuja na maboresho mapya yanayomwezesha mtumiaji kupata kumbukumbu za matukio ya video yaliyopita.
Ni Mkurugenzi Mtendaji mpya aliyeteuliwa na Bodi ya Wakurugenzi kuiongoza kampuni hiyo baada ya kukaimu nafasi hiyo tangu Septemba 2018.
Wametakiwa kushughulikia changamoto za uwekezaji na kuelewa kwa undani mazingira ya utendaji wa kila upande
Ni kituo cha ubunifu wa teknolojia kutoka Ireland ambacho kinakusudia kufungua tawi nchini ili kuwafikia vijana wenye mawazo ya kibunifu.
Waishauri Serikali kuziangalia kampuni hizo kwa jicho la tatu ili kuzipa muda wa kujiimarisha kabla ya kuanza kutozwa kodi.
Ni mtandao mahususi kwa kuchangisha na kuchanga michango mbalimbali katika kuinua watu wa hali ya chini.
Ripoti ya mapinduzi ya kidijitali imeeleza kuwa simu zimesaidia kuboresha huduma katika sekta ya kilimo, elimu na afya.
Itafanyika Machi 25-30, 2019 na huwakutanisha wadau mbalimbali wa maendeleo kujadili hatua zilizopigwa katika kuendeleza ubunifu nchini.
Katika taarifa iliyotolewa katika ukurasa wa Twitter wa Shirika la usafiri wa ndege Rwanda (RCAA) inaeleza kuwa marufuku hiyo imeanza mara moja mpaka hapo itakapoamriwa vinginevyo.
Hakuna ambacho hukera zaidi kama wakati upo sebuleni unatazama televisheni na ghafla rimoti ikakugomea kufanya kazi unayoiamuru kama kuongeza sauti ama kuhamisha chaneli.
Serikali ya Marekani iliweka zuio hilo kwa kile ilichodai kuwa kampuni hiyo inatumiwa na China katika shughuli za intelejensia.
Kampuni hizo zitawekeza zaidi ya Sh23 bilioni kuendeleza miradi wa uzalishaji wa umeme wa upepo wa katika nchi za Afrika ukiwemo wa ‘Miombo Hewani’ mkoani Njombe ili kuwapunguzia wananchi adha ya upatikanaji wa nishati ya umeme.
Serikali imeagiza kuwapa kipaumbele watu wenye mahitaji maalum katika zoezi la kuunganishiwa umeme kwa kutumia vifaa hivyo ili kuwapunguzia hadha ya upatikanaji wa nishati.
Mtandao huo ulianzishwa rasmi mwaka 2009 na unatarajia kutanua huduma zake kuwaunganisha watu wengi zaidi katika sekta ya mawasiliano na maendeleo
Huawei imezindua simu mpya ya Mate X zikiwa zimepita siku tano tangu Samsung kutambulisha simu za Galaxy S10 and Galaxy Fold zenye uwezo mkubwa wa kutunza taarifa na kutumia mtandao wa 5G.
Eleza kwa ufasaha wasifu wako, fahamu kwa undani fursa unayoomba na mahitaji yake ili kujiweka katika nafasi ya kuipata.
Ni moja ya toleo la mfululizo wa simu za Samsung Galaxy S10 zenye uwezo wa kuhifadhi taarifa hadi TB1 na zinatarajiwa kuwa kimbilio kwa wale wanaohifadhi data nyingi kwenye simu zao.
Ni jukwaa la mtandaoni linaliwawezesha vijana wenye ujuzi na stadi za ufundi kupata ajira na kuwafikia watu wenye uhitaji wa kutengenezewa au kufanya marekebisho ya vifaa, ofisi na nyumba za kuishi.