Teknolojia 4 zinazoangaziwa zaidi 2019
Ni zile zinatoa suluhisho la changamoto mbalimbali za jamii lakini zinahitaji kufanyiwa tafiti zaidi kuziongezea ufanisi.
Ni zile zinatoa suluhisho la changamoto mbalimbali za jamii lakini zinahitaji kufanyiwa tafiti zaidi kuziongezea ufanisi.
Unapatikana kando kando mwa barabara ya Old Bagamoyo na Ali Hassan Mwinyi na maeneo ya jirani ya Morocco, Victoria na Makumbusho ambayo yana kampuni nyingi za teknolojia.
Zimekuwa mstari wa mbele kutumia teknolojia kutatua changamoto za jamii na kuwa sehemu ya uboreshaji wa maisha ya wananchi.
Kuwa na mawazo ya kibunifu yanayolenga kutatua changamoto za wananchi wa kawaida katika jamii ili kuwatengenezea tija ya maisha.
Tuzo hizo ni ile ya Vijana ya Umoja wa Ulaya ya mwaka 2018 na ya Malkia wa Uingereza kwa viongozi vijana ya mwaka 2015 ambazo zinatambua mchango wake katika sekta ya elimu Tanzania.
Kupitia mfumo huo Serikali inaweza kuona makusanyo yote yanayoingia jambo linaloongeza ufanisi wa upatikanaji wa mapato, uwajibikaji na uwazi.
Amesema ni vema wakatumia mitandao hiyo kwa kuhamasishana mambo mema zikiwemo shughuli mbalimbali za maendeleo na kwa wataokiuka sheria ipo na inaendelea kufanya kazi.
Ni muendelezo wa kuunga mkono juhudi za Umoja wa Mataifa kuwaokoa wanyamapori ambao wako hatarini kutoweka.
Hali hiyo imewakosesha fursa mbalimbali zilizopo kwenye sekta hiyo inayokua kwa kasi duniani.
Ni programu za simu zilizosheheni taarifa mbalimbali zinazofungua fursa zilizopo katika sekta ya kilimo nchini.
Licha ya watumiaji wa simu za mezani kupungua bado zitaendelea kuwepo kwa muda mrefu ujao kwasababu ya usalama na umuhimu wake katika jamii.
Maboresho ya mfumo wa utoaji taarifa za fursa kiteknolojia ni muhimu kuwafikia wabunifu wengi
Imeshika nafasi ya 135 katika ya nchi 140 zilizofanyiwa utafiti na Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum).
Inakusudia kuboresha mtandao wa mawasiliano ili kuongeza idadi ya wateja na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa Taifa.
Zinaongeza mvuto kama pambo linalopendezesha nyumba na hazihitaji matengenezo ya mara kwa mara.
Teknolojia hiyo mpya ya matumizi ya simu inalenga kupunguza uhaba wa madawa na kuboresha afya za watu Zanzibar.
Usafiri huo unaratibiwa mtandaoni unakusudia kupunguza gharama za usafiri na kuwaongezea abiria usalama.
Maboresho hayo yanamuongezea mzazi nguvu ya kudhibiti maudhui anayopaswa kuangalia mtoto mtandaoni.
Simu hizo zitatumia mfumo wa ujumbe mfupi kupokea na kutuma taarifa za uchunguzi binafsi.
Maboresho hayo kuwafaidisha zaidi wanasiasa na wanamuziki kuliko watu wenye wafuasi wachache.