NALA yaja na teknolojia ya kijanja kutuma, kupokea pesa
Kuwanufaisha watu wanaofanya miamala zaidi ya mmoja kwenye simu
Kuwanufaisha watu wanaofanya miamala zaidi ya mmoja kwenye simu
Wataalamu wa usalama mtandaoni wanashauri elimu itolewe zaidi juu matumizi sahihi ya mtandao.
Kimbilio kwa wanaoishi karibu na kumbi za starehe, nyumba za ibada.
Ni Eshangazi ambaye ana mwaka mmoja sasa tangu aanzishwe nchini akitaka vijana watete naye kuhusu masuala ya afya ya uzazi.
Katika hatua za awali Windlab watazalisha megawati 100 zitakazoingia kwenye gridi ya Taifa.
Mbunifu awe na wazo linaloweza kutatua changamoto za jamii inayomzunguka
Vifaa hivyo hupiga king’ora ndani ya basi pale dereva anapozidisha mwendokasi wa kilomita 85 kwa sasa.
Kiwango hicho ambacho ni sawa na zaidi ya mara moja na nusu ya bajeti ya Serikali ya mwaka 2018/19 ya Sh32.5 trilioni, inatarajia kuajiri watafiti 1,000 ulimwenguni kote.
Unatoa fursa lukuki zinazotegemea umeme kwa watu waliopo mbali na gridi ya Taifa.
Mkaa mbadala unaokoa kiasi kikubwa cha matumizi ya pesa kuliko mkaa wa kawaida.
Rais Magufuli naye aingia katika 10 bora ya watu wenye wafuasi wengi Twitter miaka mitatu tangu ajiunge kwenye mtandao huo.
Mark Zuckerberg kuwaunganisha makapela zaidi ya milioni 200 wa Facebook, ikiwa ni huduma maalum tofauti na inayotumika sasa ya watu kutongozana ‘kienyeji’ mtandaoni.
Anakuwa msanii wa kwanza nchini kuingia kandarasi ya ubalozi wa chapa ya Uber takribani miaka miwili tangu kampuni hiyo ilipoanza kutoa huduma zake jijini Dar es Salaam.
Matumizi ya teknolojia hiyo yataokoa gharama za matibabu kwa wagojwa kwa takriban mara tano ikilinganishwa na matibabu yanayotolewa nje ya nchi
Kuna mambo ya msingi ya kuzingatia ili kuzuia gharama za ziada zisizo za lazima, kuongeza usalama na kulinda heshima yako na uhusiano na madereva wa magari hayo.
Idadi hiyo ni mara tatu zaidi ya watumiaji wa intaneti waliokuwepo mwaka 2012.
Ni program ya simu ya mkononi inayotoa kozi fupi za ufundi za Veta kwa gharama nafuu.
Mfumo wa kihasibu wa Kitanzania unao saidia kujua mahesabu ya Biashara popote ulipo.
Tayari kuna wajasiriamali zaidi ya 200 wanaotumia.
• Ameshatengeneza AC ndogo ya mezani inayotumia umeme sawa na simu.
Kwa kutumia Google Maps sasa unaweza kujua njia inayopita ina foleni ama la.
• Huduma hizo inakusaidia hata kujua historia ya foleni kwenye barabara unazotaka kupita.
• Inaweza kuwasaidia madereva wa Uber, Taxify na bodaboda kuepuka foleni kali.