Trump bado bado sana kufunguliwa YouTube
YouTube imesema itaondoa zuio la akaunti ya Trump iliyofungwa Januari 12 mwaka huu mpaka ijiridhishe kuwa hakuna hatari ya kufanyika kwa vurugu.
YouTube imesema itaondoa zuio la akaunti ya Trump iliyofungwa Januari 12 mwaka huu mpaka ijiridhishe kuwa hakuna hatari ya kufanyika kwa vurugu.
Ni matumizi ya app ambayo ya Clue inamsaidia mtu kupanga uzazi salama ili kupata watoto kwa watoto.
Ni kutokana na kuwepo kwa malalamiko ya makato yasiyo sahihi ya gharama za matumizi ya vifurushi vya simu za mkononi.
Mtandao huo ulianzishwa mwaka 2009 na mwaka 2014 ulinunuliwa na kampuni ya Facebook ambapo umekuwa kiungo muhimu cha mawasiliano duniani.
Wapo watu ambao wanatumia simu za mkononi kinyume na maelekezo yaliyotolewa na watengenezaji na hivyo kusababisha simu kuharibika mapema.
Ni sera mpya ya faragha ambayo kwa sehemu itashirikisha taarifa zao binafsi na mtandao wa Facebook.
Ni sera ya faragha ambayo imeibua mjadala mpana duni kuhusu usiri wa taarifa za watumiaji wake.
Ni pamoja na kufahamu uwezo wa chaja hiyo kupokea na kuchaji simu yako.
App hiyo inayojulikana kwa jina la ‘Hisa Kiganjani’ imeanzishwa kwa lengo la kurahisisha shughuli za uwekezaji zinazochangamana na soko la hisa.
Ni baada ya Serikali kuanza mpango wa kuanzisha kanzidata ya wanufaika wa mfuko huo ili kuepusha changamoto zilizojitokeza hapo awali ikiwemo baadhi kupokea fedha mara mbili.
Uamuzi huo unatokana na Wasafi TV kukiri kosa na kuomba kupunguziwa adhabu kutokana na kukiuka kanuni za maudhui ya mtandaoni.
kwa sasa haya yanaweza kufanyika kwa watumiaji wa simu zinazotumia mfumo endeshi wa Android.
Ni mwanzilishi app ya Nderemo inayorahisisha waandaaji wa sherehe kupata watoa huduma mbalimbali ili kufanikisha sherehe yako.
Ni wakulima wa Vietnam ambao wameanza kuongeza uzalishaji na mavuno kwa kutumia programu ya simu kutambua kiwango cha chumvi kwenye maji yanayotumika kumwagilia mpunga.
Ni simu ya Samsung Galaxy S21 ambayo itaingia soko Januari 29 mwaka huu. Simu hii imeambatana na maboresho kidogo ikilinganishwa na S20 ya mwaka jana.
Twitter yasema amekiuka sera na sheria za mtandao huo kwa kuchochea vurugu.
Twitter yamzuia kuchapisha chochote kwa saa 12 ikitishia kuiuzia jumla akaunti hiyo iwepo ikiendelea kuvunja sera zake.
Ni pamoja na kutumia kompyuta kitandani, kwenye makochi na sehemu zingine zinazotunza joto.
Kuchoka kwa macho husababishwa na matumizi ya skrini kwa muda mrefu bila kupumzika.
Watumiaji wa baadhi ya simu za Samsung Galaxy na iPhone hawatoweza kuutumia mtandao huo baada ya maboresho yaliyofanywa kuanza kufanya kazi.