Sifa za simu mpya ya Apple itakayozinduliwa Aprili 24
iphone SE ni simu itakayompatia mtumiaji wa simu za iPhone sababu zote za kuhamia kwenye simu hiyo huku ikivimba kifua kwa kusema ni simu ambayo kila mtu amekuwa akiisubiria.
iphone SE ni simu itakayompatia mtumiaji wa simu za iPhone sababu zote za kuhamia kwenye simu hiyo huku ikivimba kifua kwa kusema ni simu ambayo kila mtu amekuwa akiisubiria.
Apple katika taarifa yake iliyotolewa leo (Aprili 21,2020) imetaja nchi 17 za Afrika ambazo zimeongezwa kwenye orodha yake ya huduma hiyo ikiwemo Tanzania.
Furaha ya Maston imeanza baada ya kusikia kuwa mtandao wa kijamii wa Instagram una mpango wa kuwawezesha watumiaji wake kuhifadhi maudhui ya mubashara katika kipengele chake cha televisheni (IGTV).
Italia ina mpango wa kutumia programu ya simu za mkononi inayoweza kufuatilia maambukizi ya kirusi cha corona, wakati ikijitayarisha kuondosha zuio la shughuli za kawaida za kimaisha mwezi ujao wa Mei.
Ni baada ya kubainika kukiuka kanuzi za mawasiliano kwa kuchapisha na kutangaza habari yenye kupotosha na kuleta mkanganyiko kwenye jamii.
Wakati huu ambao huwezi kumbaini mgonjwa wa virusi hivyo kwa kumtazama, haya ni mambo ambayo unaweza kuzingatia ili kuwa salama na kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo wakati ukitumia gari lako
Huenda Watanzania waliopata namba za utambulisho wa Taifa (NIN) wakaendelea kusubiri kwa muda mrefu kupata vitambulisho vya Taifa baada ya ripoti ya CAG kubaini kasi ndogo ya uchapishaji inayochagizwa na changamoto za mfumo na vitendea kazi.
Huenda viti vya enzi vya wadau hao wa usafiri vikaota miba baada ya mdau mwingine kuingia kwenye tasnia hiyo ya usafiri.
Ni baada ya malalamiko ya wageni wasio waalikwa kwenye baadhi ya mikutano ya wadau wa teknolojia hiyo.
Taarifa ya kampuni hiyo ya Marekani iliyotolewa Aprili 2, 2020 inaeleza kuwa mamlaka za afya zimeonya kuwa taarifa nyingi hasa zinazotolewa mtandaoni zinaweza kuwakanganya watu kupata miongozo sahihi kuhusu ugonjwa huo.
“
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt Ashatu Kijaji, amesema hakuna ubadhirifu unaoendelea katika Shirika la Bima la Taifa (NIC) baada ya Serikali kuchukua hatua kadhaa ikiwemo kubadili uongozi wa Shirika hilo pamoja na kuimarisha mifumo yake ya ukusanyaji
Kampuni hiyo inayowasaidia wananchi kubaini bidhaa feki kwa kutumia simu za mkononi imetajwa kuwa miongoni mwa kampuni 10 za teknolojia zenye ubunifu wa kiwango cha juu barani Afrika kwa mwaka 2020.
Kipindi wazazi wana kila sababu ya kuhakikisha watoto wao wanaendelea kuelemika kwa njia tofauti wakiwa nyumbani ili waweze kutimiza ndoto zao kielimu.
Baadhi ya kampuni za teknolojia ikiwemo ya Liquid Telecom inayotoa huduma ya intaneti nchini Tanzania zimejidhatiti kuhakikisha huduma hiyo inapatikana vizuri ili kazi za uzalishaji ziendelee kama kawaida bila kuathiriwa na Corona.
Nchi ya Singapore imezindua programu tumishi ya simu (app) itakayowezesha Serikali kuwafuatilia na kuwatambua watu waliokaribiana na wagonjwa wa maradhi ya COVID-19 kama moja ya juhudi za kukabiliana na kusambaa kwa virusi vya corona.
Aliyekuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba amezishauri benki na kampuni za simu nchini Tanzania kuondoa tozo za malipo kwa miamala ya fedha inayofanyika kielektroniki isiyozidi Sh50,000 kipindi hiki ambacho ugonjwa w
Mfumo huo ambao ni programu tumishi ya simu (App) ya Afya Tek inasaidia wadau wa sekta ya afya kufanya maamuzi sahihi kupitia taarifa sahihi za wagonjwa wanaotibiwa katika vituo vya afya.
Dhana hizo ni pamoja na kuweka kila chakula na kutosafisha ndani na nje ya friji ambazo zimekuwa zikiwagharimu watu kwa sababu kifaa hicho kupunguza ufanisi wake.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wiliam Ole Nasha amewataka washirika wa maendeleo kuwekeza fedha kwa wabunifu wa teknolojia wenye mawazo yanayotekelezeka ambayo yanatatua changamoto za msingi zinazoikabilia Tanzania.
Yasema baadhi ya matangazo hayo siyo ya kweli yanalenga kuwanufaisha wahalifu kibiashara.