July 1, 2024

Chanjo ya Corona yazidi kupata muitikio mkubwa duniani

Kwa sasa chanjo inayoongoza kutumiwa zaidi na nchi mbalimbali duniani ni Pfizer/BoiNTech na Oxford/AstraZenaca

Dar es Salaam. Wakati Corona ikiendelea kuitesa dunia, juhudi mbalimbali za kupambana na ugonjwa huo zinaendelea duniani ikiwemo usambazaji wa chanjo dhdi ya ugonjwa huo. 

Kwa sasa chanjo zinazoongoza kutumiwa zaidi na nchi mbalimbali duniani ni Pfizer/BoiNTech na Oxford/AstraZenaca.