July 3, 2024

Faida za chanjo dhidi ya COVID-19

Ni pamoja na kumkinga mtu asipate maambukizi ya ugonjwa huo.

Dar es Salaam. Bado hufahamu faida zinazoambatana na chanjo dhidi ya COVID-19? Hizi ni miongoni mwa faida nyingi.