October 6, 2024

Hali halisi ya ugonjwa wa Corona Afrika Mashariki

Hadi jana Aprili 7 watu zaidi ya 200,000 katika nchi za Afrika Mashariki walikuwa wameambukizwa ugonjwa wa Corona huku 3,067 kati yao wakifariki dunia.

Dar es Salaam. Hadi jana Aprili 7 watu zaidi ya 200,000 katika nchi za Afrika Mashariki walikuwa wameambukizwa ugonjwa wa Corona huku 3,067 kati yao wakifariki dunia. 

Chukua tahadhari kujikinga na ugonjwa huo kwa kunawa mikono mara kwa mara, vaa barakoa na tumia tishu wakati wa kukohoa au kupiga chafya.