September 29, 2024

Hali halisi ya utoaji wa chanjo ya Corona duniani

Hadi kufikia Juni 21 mwaka huu, zaidi ya dozi milioni 2.5 za chanjo za Corona zimetolewa katika maeneo mbalimbali duniani kukabiliana na janga hilo.

Dar es Salaam. Mataifa mbalimbali ulimwenguni yanaendelea na zoezi la kutoa chanjo kwa raia wake ili kuwakinga na janga la Corona ambalo limeathiri shughuli mbalimbali zikiwemo za usafiri na kiuchumi jambo lililoleta changamoto katika utekelezaji wa sera za afya duniani.

Hadi kufikia Juni 21 mwaka huu, zaidi ya dozi milioni 2.5 za chanjo za Corona zimetolewa katika maeneo mbalimbali duniani huku vifo vinavyotokana na Covid-19 vikifikia milioni 3.8. Hii ndiyo hali halisi ya utoaji wa chanjo duniani kwa sasa: