July 3, 2024

Hivi ndivyo chanjo ya Corona ilivyopatikana

Utengenezaji wake hupitia hatua sita kabla ya kuanza kupelekwa kwa umma.

Dar es Salaam. Unafahamu mchakato wa kutengeneza chanjo? Hivi ndivyo chanjo mbalimbali ikiwemo ya Corona (COVID-19) hupitia hatua kadhaa kabla haijaanza kusambazwa na kutumiwa na watu.