July 1, 2024

Jinsi ya kujiandaa ikiwa mtu atapata COVID-19 nyumbani

Hakikisha una mawasiliano ya simu ya watoa huduma, vifaa vya kujikinga na vyakula vitakavyokusaidia wakati unaumwa.

Dar es Salaam. Ufanye nini kujianda ikiwa utapata ugonjwa wa Corona? Hakikisha una mawasiliano ya simu ya watoa huduma, vifaa vya kujikinga na vyakula vitakavyokusaidia wakati unaumwa.