October 7, 2024

Jinsi ya kujikinga na Corona unapoanza mwaka 2021

Ni pamoja na kuandaa bajeti ya kutumia wakati wa dharura na kuzingatia tahadhari zote za afya.

Dar es Salaam. Ni mwishoni mwa mwaka na baaadhi ya watu na makampuni yameanza kufanya mipango kwa ajili ya mwaka 2021.

Hata wakati shughuli hizo zikiendelea, huenda baadhi ya watu wanashindwa kuhusisha ugonjwa wa Corona ambao bado unasumbua baadhi ya nchi ulimwenguni katika mipango yao.

Kwa kampuni, ni vyema kuweka bajeti ya kununua vitu muhimu kama vitakasa mikono a tishu na vitu vingine vya usafi vitakavyosaidia kupambana na ugonjwa wa Corona.

Je, kwa mtu binafsi ni nini kinatakiwa kuzingatiwa? tazama video hii kujua zaidi.